Usimruhusu mkeo apost insta picha zake wala aende Gym

Andika bhna 😅
Sosho midia ni uwanja mpana sanaaaa, utakutana na watu wa kusini, mashariki, magharibi na kaskazini.

Halafu sio waoga kabisa kutongoza, mpaka najiuliza hivi ni kawaida?

Mi nimeanza kupost mwaka huu mwezi wa pili nina post chache tu lakini mhhhh! Wanaume!!!!! kama hawa ni wanaume zetu tumekwisha jamani!!!!!

Mtu analike post, then anakuja DM akiona haujibu DM anaenda kulike tena hivyo hivyo hadi umpe attention. Utadhani ana cha maana cha kusema mi nawaangalia tu nasema hiiiiiiiiiiii!Kwa sauti ya Uncle Magu (RIP)
 
Kwa wewe ulivyo utawalaumu bure wanaume shost weeee

Hata ningekua mimi mwanaume ningejaribu bahati yangu🤣🤣

Mie sina picha yoyote soshoo midiya huko mtu akinibahatisha status imeisha hiyo na naweka mara chache
 
Et unasema hiiii dah nimecheka 🤣🤣🤣🤣
 
Kwa wewe ulivyo utawalaumu bure wanaume shost weeee

Hata ningekua mimi mwanaume ningejaribu bahati yangu🤣🤣

Mie sina picha yoyote soshoo midiya huko mtu akinibahatisha status imeisha hiyo na naweka mara chache
Aaiiii mdogo wangu, Kule kwa nilichoelewa kila mtu ana mtuwe kiukweli, ni uwanja huru sana.

Nadhani haijalishi ukoje wala ukoje, nimepost vitu decent sana aisee! Nachanganyikiwa najiuliza wanaume wanaona nini? Au ni addiction yao tu kutongoza? Kama ni overthinker mwenzangu utapata uoga sana na uta-fear men!

Nimeelewa sana kwanini wadada wazuri wana viburi!
 
mtu hata hatujakutana jamani
hivi unafikiri kuvuana nguo ni jambo rahisi sana
??
ni ngumu japo kwenye hili pia pagumu
napambana🤣🤣🤣
Uongoo uongoo kuvuana nguo now days, simple sanaaaaaaaaa, we unachapika Nisha kusoma wewe mwepesi labda huyo jamaa mshambaa tu, hakukua na haja kumzungumzia hapa yumo kichwani mwako we unalika huna msimamo
 
Aaiiii mdogo wangu, Kule kwa nilichoelewa kila mtu ana mtuwe kiukweli, ni uwanja huru sana.
Ni kweli
Nadhani haijalishi ukoje wala ukoje, nimepost vitu decent sana aisee! Nachanganyikiwa najiuliza wanaume wanaona nini? Au ni addiction yao tu kutongoza? Kama ni overthinker mwenzangu utapata uoga sana na uta-fear men!
Wewe pia ni overthinker dear👏
Nimeelewa sana kwanini wadada wazuri wana viburi!
Kiburi wanapewa🤣
 
tangu nimeolewa 10 yrs ago plus uchumba namjua tu mume wangu
Usijidanganye eti umependa hao madada wazuri insta wanaliwa kila siku, wadau wanataka nyapu tu sio wewe, ukisha lombwa unaeekwa pembeni, anatafutwa mwingine, ndo utaratibu tuliKua tunatumwa na madon kuwatongozea mademu top town tunaijua kabisa huyu akisha lombwa hana chake wengine akili kisoda ana vunja ndoa AOLEWE na kijana boss mtoto, nilikua naishia kusikitika
 
usikumwema
Wanandoa wote
AKA cheaters...
Wale mnaojielewa nanyi congs sana
 
yaan sikuhizi mjimama ikikukosa ma sugar dady haoooooo yaan neema tu uponyokee hapo
 
Back
Top Bottom