Usimruhusu mkeo apost insta picha zake wala aende Gym

Usimruhusu mkeo apost insta picha zake wala aende Gym

Angalia hata mada yake alipofikia upande wa pesa, afu ndo huyu ety anasema Hawez kuliwa nje 😂
Akili za wanawake bhana 🙌
sikufichi ela anazo na pia ni ile type ya Aj
yaani 10/10
yaani vitu vyangu
soma hadi mwisho hapo
mimi siwez tu ishi na guilty ya kucheat ...
ni kweli hata mume wangu nilikubal anioe maana pia ela anazo
nimetoka kaskazini bro.... watoto wangu hawatakula mapenzi
 
Bhanaa weee nishakwambia sina I'd fake, ila kuna mtu humu ni mwanangu sana aliniambia alimla member humu sikuamini.....
Mbona kawaida hy mkuu, humu wanalombwa vzr tuu, ww andika mada kama za yule jamaa wa Singapore soon unawalomba hata huyu mtoa mada unalomba fresh
 
sikufichi ela anazo na pia ni ile type ya Aj
yaani 10/10
yaani vitu vyangu
soma hadi mwisho hapo
mimi siwez tu ishi na guilty ya kucheat ...
ni kweli hata mume wangu nilikubal anioe maana pia ela anazo
nimetoka kaskazini bro.... watoto wangu hawatakula mapenzi
Leta ngonjera tuu, Ila unalika poa tuu
 
Kuna mtu alishaandika hivyo humu si muda mrefu.

Kwa kweli na mimi leo nakiri...

Yote hayo kwenye heading nayafanya, na nimefikia kwenye conclusion kwamba... it's very hard kunyooka.

Cha kwanza, sitaongelea gym, ila nazungumzia suala la kupost.

Binafsi sikuwa na profile yoyote yenye jina langu wala picha zangu popote pale kwenye social media (hadi sasa sina jina langu kwenye social media). Nina account za biashara tu.

So this year nilifungua account ila kwa jina la aka ya utotoni.

Napost tu picha zangu kwa ajili ya kumbukumbu.

Napata DM, ila hazishtui, nazignore tu.

Jamani leo nimepata DM moja hivi...

Duuuh, mpaka sasa nashindwa kujicontain aisee.

Mkaka amenyooka, yaani 10/10.

Halafu ni mmoja wa big boys Africa.

Ila ni Mtanzania.

Kwa kweli sikuwahi kumjua... I'm not so much into social media zaidi ya JF.

Ikabidi nimcheki, deep search huko Google...

Mamaaa! A-list kabisa.

Cha mwisho kabisa...

Ana hela.

Kwa anachofanya sikuwahi tu kumjua.

Please, there is always a bigger fish...

Hata mkeo umfanyie nini, honga uwezavyo, kuna mtu atakuzidia sehemu.

Hata kama mkeo kanyooka vipi, vitu vingine vinakukuta tu.

Nashukuru Mungu nilishasema siwezi kuishi na guilty ya kucheat.

Bora ugali dagaa kwenye amani.

Kwanza wakaka kama hawa wanacheat sana 🤣🤣🤣🤣
Ah sasa mmeo asipost picha kwani mbaya 🤣🤣🤣 mie mrembo wangu wacha apost bwana na gym aend. Mambo ya mkeo kutombwa mbona sio kitu cha kumind kabisa. Kidume na wewe sii unadinya warembo huko nje....mambo gani kupangiana matumizi ya sehemu za siri za mkeo au mumeo
 
sikufichi ela anazo na pia ni ile type ya Aj
yaani 10/10
yaani vitu vyangu
soma hadi mwisho hapo
mimi siwez tu ishi na guilty ya kucheat ...
ni kweli hata mume wangu nilikubal anioe maana pia ela anazo
nimetoka kaskazini bro.... watoto wangu hawatakula mapenzi
Unavyomsifia haki ya nani unaenda kuanguka dhambini
 
Ah sasa mmeo asipost picha kwani mbaya 🤣🤣🤣 mie mrembo wangu wacha apost bwana na gym aend. Mambo ya mkeo kutombwa mbona sio kitu cha kumind kabisa. Kidume na wewe sii unadinya warembo huko nje....mambo gani kupangiana matumizi ya sehemu za siri za mkeo au mumeo
jesussss!!!!
 
hii haina comeback🤣🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom