Usimruhusu mkeo apost insta picha zake wala aende Gym

Usimruhusu mkeo apost insta picha zake wala aende Gym

Sijui nilitaka kusemeje? Any way Kuna content creator ana msimamia demu wake kwenye mbanga za content, juzi kati kashangaa demu wake akatumiwa milioni nane na mwana, akashangaa demu anatumiwaje pesa ilihali yeye ndo meneja na ndie mwenye mamlaka za kupokea pesa za demu wake KIKAZI yani official.

Mwingine nae ni content creator akahaidiwa milioni kumi na tano na mchimba madini wa kahama, ikaleta shida Hadi kuvunjika Kwa penzi, in short ukimiliki demu mkali akawa mitandaoni lazima aliwe elewa neno kuliwa labda awe mbaya.

Wasukuma wa madini washambaa sana una hongaje demu mamilioni yote hayo na hujawahi MUONA?
Watu migodini hiyo hela ya soda, kuna mademu wanakatiwa ndege go and return wanawekewa dau wengine 20m+.Migodini huko kuna watu wanahela hawajui wazifanyie nini.
 
Huwa nashangaa na kustaajabu sana unamkuta Dada kaolewa lakini anajipost kwenye status whatsapp anajiimbisha nyimbo ya Diamond inaitwa Nani huku anabinua midomo sijui huwa wanakuwa wana maana gani ? Au amepika maandazi anayapost status 🤣
Khee... kwani kupost maandazi Kuna shida gani jamani?? 🫪😁
 
Dah hii dunia!!!.

Una mke ndani kumbe kuna njemba zinamendea zimtafune na masikini huna hili wala lile.

Na hatimaye analiwa aisee!!!.
 
Hakuna mkate mgumu mbele ya chai.
Umeongea maneno meeengi lakini kwenye kipengele cha hela ukakazia kwa herufi kubwa.
Na hapo ndo ulipo udhaifu wenu wanawake.
Trust me huyo jamaa hata asipokutafuta tena, ila wewe utaendelea kuwa attention kwa kumuandikia vi meseji uchwara ili siku mambo ya shekeli yakikuendea kombo hutasita kumpiga kizinga na hapo ndo utachezea "libolo fc"
Nilipoona sentensi ya...."Yani ni A list kabisa, hela ipooo" nikajisemea baaaas amekwisha huyu!!!

Mwanamke wa kitanzania na fedha ni kama maji na samaki. Swala la kuliwa hapo ni uhakika na mazingira atayatengeneza mtoa mada mwenyewe, yani atajirahisisha hadi aliwe😂
 
mtu hata hatujakutana jamani
hivi unafikiri kuvuana nguo ni jambo rahisi sana
??
ni ngumu japo kwenye hili pia pagumu
napambana🤣🤣🤣
Wewe ushaelewa, hapo inatafutwa timming tu ukatombwe. Mwanamke anaweza akakataa wanaume 9 ila wa 10 akatafuna mzigo. Kwa wandewa tunaelewa na ndio maana inataka akili kubwa kuishi na mwanamke.
 
Uongoo uongoo kuvuana nguo now days, simple sanaaaaaaaaa, we unachapika Nisha kusoma wewe mwepesi labda huyo jamaa mshambaa tu, hakukua na haja kumzungumzia hapa yumo kichwani mwako we unalika huna msimamo
Wasichojua wanawake wengi cheating inaanzia akilini kwenye imagination za mikunjo. Mwanamke akishaingia kwenye ulimwengu wa imagination hizo maana yake yuko 100% attracted to the Guy. Kinachokuwa kimesalia ni jamaa kuonesha interest hata kiduchu tu na kabla hajaanza kufanya hivyo wanawake wengi huwapa signal tu za ku trigger interest.

Before even getting to bed tayari anakuwa amesha register hio immoral act of cheating. This is a typical case ya mtoa mada.
 


Wasichojua wanawake wengi cheating inaanzia akilini kwenye imagination za mikunjo. Mwanamke akishaingia kwenye ulimwengu wa imagination hizo maana yake yuko 100% attracted to the Guy. Kinachokuwa kimesalia ni jamaa kuonesha interest hata kiduchu tu na kabla hajaanza kufanya hivyo wanawake wengi huwapa signal tu za ku trigger interest.

Before even getting to bed tayari anakuwa amesha register hio immoral act of cheating. This is a typical case ya mtoa mada.
Bahati mbaya sana ndoa nyingi mwanamke akishatombesha nje tu ndio mwanzo wa migogoro na kuvunjika kwa ndoa.

Tena asiombe aende akutane na mwanaume mwenye anajua vilivyo kuishughulikia kei, amekwisha
 



Bahati mbaya sana ndoa nyingi mwanamke akishatombesha nje tu ndio mwanzo wa migogoro na kuvunjika kwa ndoa
Mwanamke kiasili hatakiwi kuonja nje😂 na ndio maana hata Eva alivyopigwa miti na Shetani (nyoka) biashara ya Edeni ikawa imeisha sababu asingeweza tena kumsikiliza Adamu. Vivyo hivyo hapa duniani mkeo akigongwa nje tu jua utawala wako umeisha, hatoweza kukusikiliza. Stesheni inakuwa imehama mazima.
 
Kuna mtu alishaandika hivyo humu si muda mrefu.

Kwa kweli na mimi leo nakiri...

Yote hayo kwenye heading nayafanya, na nimefikia kwenye conclusion kwamba... it's very hard kunyooka.

Cha kwanza, sitaongelea gym, ila nazungumzia suala la kupost.

Binafsi sikuwa na profile yoyote yenye jina langu wala picha zangu popote pale kwenye social media (hadi sasa sina jina langu kwenye social media). Nina account za biashara tu.

So this year nilifungua account ila kwa jina la aka ya utotoni.

Napost tu picha zangu kwa ajili ya kumbukumbu.

Napata DM, ila hazishtui, nazignore tu.

Jamani leo nimepata DM moja hivi...

Duuuh, mpaka sasa nashindwa kujicontain aisee.

Mkaka amenyooka, yaani 10/10.

Halafu ni mmoja wa big boys Africa.

Ila ni Mtanzania.

Kwa kweli sikuwahi kumjua... I'm not so much into social media zaidi ya JF.

Ikabidi nimcheki, deep search huko Google...

Mamaaa! A-list kabisa.

Cha mwisho kabisa...

Ana hela.

Kwa anachofanya sikuwahi tu kumjua.

Please, there is always a bigger fish...

Hata mkeo umfanyie nini, honga uwezavyo, kuna mtu atakuzidia sehemu.

Hata kama mkeo kanyooka vipi, vitu vingine vinakukuta tu.

Nashukuru Mungu nilishasema siwezi kuishi na guilty ya kucheat.

Bora ugali dagaa kwenye amani.

Kwanza wakaka kama hawa wanacheat sana 🤣🤣🤣🤣
... 'Kwanza wakaka kama hawa wanacheat sana🤣🤣🤣🤣'...

Sizitaki mbichi hizi'nini?

Umetumia mbinu ile ile ya wakware ya kusherehekea ushindi baada ya 'kuweza'!

Kwa pamoja tunasema hongera sana kwa 'ushindi'.

Enzi zetu ndiyo zilikuwa zetu hizo, hasa nikifanya mapenzi na mwanamke nimpendaye sanaaa, ama mwanamke mwenye influence kubwaa!

Nakwambia nilikuwa nashikwa kimuhe muhe bab kubwa.

Baba au mama asipoangalia ni lazima anisaidie kusherehekea furaha yangu ya ushindi wa jambo langu siku hiyo!

Nitawauliza maswali yanayokaribiana na uhalisia wa jambo nililolitenda sirini na wakipatia kujibu usahihi wa mitego yangu, basi miye hufuraahi kwa tabasamu ama cheko la bashasha kabisa.

Lakini mamangu mzazi nilikuja kumshangaa ni mbinu gani alizitumia kuugundua uharamia wangu wakisaikolojia!

Maana kila nilipomponda kwa hila msichana yeyote mbele yake ama kulilaani jambo lolote linalopendwa kufanywa na vijana wa rika langu, mara zote niliona akizingatia kunikazia macho kwenye paji langu la uso na kunambia... 'mtoto mwongo wewe!'...

Kwa hiyo mkuu, unaona ufahari gani mbele ya watu wenye njaa kali kubeua shibe na kuanza kuchokonoa meno kwa toothpick kuwathibitishia kuwa mwenzao 'umekula'?

Hauwezi tu ukachukua zako tisue ukakausha zako midomo na kuuchuna?
 
Mwanamke kiasili hatakiwi kuonja nje😂 na ndio maana hata Eva alivyopigwa miti na Shetani (nyoka) biashara ya Edeni ikawa imeisha sababu asingeweza tena kumsikiliza Adamu. Vivyo hivyo hapa duniani mkeo akigongwa nje tu jua utawala wako umeisha, hatoweza kukusikiliza. Stesheni inakuwa imehama mazima.
Ni kweli kbs. Kuna kijana mmoja anatomber mwanamke mmoja ukimuona ni wa heshima sana huwezi kumdhania kama anaweza kucheat. Ndani ya mwaka mmoja tu ndoa ya yule mwanamke ya zaidi ya miaka kumi na sita imeshavunjika amebaki anatangatanga tu maana mara tu baada ya kuvunjika kwa ndoa, yule kijana hamtaki tena huyo mwanamke
 
Back
Top Bottom