Usimruhusu mkeo apost insta picha zake wala aende Gym

Usimruhusu mkeo apost insta picha zake wala aende Gym

Kuna mtu alishaandika hivyo humu si muda mrefu.

Kwa kweli na mimi leo nakiri...

Yote hayo kwenye heading nayafanya, na nimefikia kwenye conclusion kwamba... it's very hard kunyooka.

Cha kwanza, sitaongelea gym, ila nazungumzia suala la kupost.

Binafsi sikuwa na profile yoyote yenye jina langu wala picha zangu popote pale kwenye social media (hadi sasa sina jina langu kwenye social media). Nina account za biashara tu.

So this year nilifungua account ila kwa jina la aka ya utotoni.

Napost tu picha zangu kwa ajili ya kumbukumbu.

Napata DM, ila hazishtui, nazignore tu.

Jamani leo nimepata DM moja hivi...

Duuuh, mpaka sasa nashindwa kujicontain aisee.

Mkaka amenyooka, yaani 10/10.

Halafu ni mmoja wa big boys Africa.

Ila ni Mtanzania.

Kwa kweli sikuwahi kumjua... I'm not so much into social media zaidi ya JF.

Ikabidi nimcheki, deep search huko Google...

Mamaaa! A-list kabisa.

Cha mwisho kabisa...

Ana hela.

Kwa anachofanya sikuwahi tu kumjua.

Please, there is always a bigger fish...

Hata mkeo umfanyie nini, honga uwezavyo, kuna mtu atakuzidia sehemu.

Hata kama mkeo kanyooka vipi, vitu vingine vinakukuta tu.

Nashukuru Mungu nilishasema siwezi kuishi na guilty ya kucheat.

Bora ugali dagaa kwenye amani.

Kwanza wakaka kama hawa wanacheat sana 🤣🤣🤣🤣

Huo ni ubinafsi.

Yaani mtu Aache kupost kisa unaogopa big fish's watammeza?

Mkeo kama anapenda kupost muache apost ilimradi picha hazimdhalilishi.

Tayari ulishamuambia aki-cheat ndoa imeishia hapohapo why uogope? Unaogopa ukweli?
Unaogopa uhalisia wa tabia za mkeo?

Raha ya Mapenzi ni kumuacha mkeo aishi bila kumchunga
Wakimbakua unafukuza.
Unatafuta binti mdogo mbichi mkali maisha yanaendelea.

Kile unachokiogopa mara nyingi ndio hugeuka jaribu lako mara kwa mara.

Vijana, mapenzi sio hisia. Mapenzi ni uchaguzi.
Usimchunge mkeo. Mpe taarifa tuu kuwa akicheat hakuna kikao kitafanyika zaidi ya hiko kikao cha leo. Utamfukuza na utaoa mwanamke mwingine mdogo, mbichi.
 
kama ilivyo usimruhusu mkeo aende club

kwakua anapenda kwenda utamruhusu Ewe "Mtibeli?"
 
kama ilivyo usimruhusu mkeo aende club

kwakua anapenda kwenda utamruhusu Ewe "Mtibeli?"

Club tunaenda wote mbona.

Kama anaenda kucheza muziki muache amended.
Yaani mwanamke chini ya miaka 30 Aache kwenda club wakati anapenda kisa sheria za mwanaume?

Inategemea anaenda kufanya nini. Hiyo ndio hoja.
Watu wanakataza Wake zao kwenda mpaka Kanisani kutokana na kile kinachompeleka mwanamke huko au tabia ya mkewe ya umalaya.

Sisi Watibeli hatuwezi kuishi na watu kama watumwa.
Mtu anapenda kulala na wanaume why umzuie? Kwa nini umtese? Unatakiwa umuache awe huru.
 
Ahsante kwa taarifa, kila la kheri...

Cc: Mahondaw
Once a cheater always a cheater!
Vipi weye love ukimuelewa mwanamke huwezi cheat????

Anyways, mtoa mada kaongelea vitu vingiii kwa pamoja wajua kichwa yangu ilivo kilaza kuelewa! Msaada wa kueleweshwa pulllliiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiizzzzzzzzz
 
Wasichojua wanawake wengi cheating inaanzia akilini kwenye imagination za mikunjo. Mwanamke akishaingia kwenye ulimwengu wa imagination hizo maana yake yuko 100% attracted to the Guy. Kinachokuwa kimesalia ni jamaa kuonesha interest hata kiduchu tu na kabla hajaanza kufanya hivyo wanawake wengi huwapa signal tu za ku trigger interest.

Before even getting to bed tayari anakuwa amesha register hio immoral act of cheating. This is a typical case ya mtoa mada.
Yani cha kufanya hapa tumuombee shemeji yetu, asimuudhi mtoa mada lasivyo kushare ni lazima, ila ujasiri wa hizi mambo mmetupa nyie wanaume, tuendelee hivi hivi
 
Kuna mtu alishaandika hivyo humu si muda mrefu.

Kwa kweli na mimi leo nakiri...

Yote hayo kwenye heading nayafanya, na nimefikia kwenye conclusion kwamba... it's very hard kunyooka.

Cha kwanza, sitaongelea gym, ila nazungumzia suala la kupost.

Binafsi sikuwa na profile yoyote yenye jina langu wala picha zangu popote pale kwenye social media (hadi sasa sina jina langu kwenye social media). Nina account za biashara tu.

So this year nilifungua account ila kwa jina la aka ya utotoni.

Napost tu picha zangu kwa ajili ya kumbukumbu.

Napata DM, ila hazishtui, nazignore tu.

Jamani leo nimepata DM moja hivi...

Duuuh, mpaka sasa nashindwa kujicontain aisee.

Mkaka amenyooka, yaani 10/10.

Halafu ni mmoja wa big boys Africa.

Ila ni Mtanzania.

Kwa kweli sikuwahi kumjua... I'm not so much into social media zaidi ya JF.

Ikabidi nimcheki, deep search huko Google...

Mamaaa! A-list kabisa.

Cha mwisho kabisa...

Ana hela.

Kwa anachofanya sikuwahi tu kumjua.

Please, there is always a bigger fish...

Hata mkeo umfanyie nini, honga uwezavyo, kuna mtu atakuzidia sehemu.

Hata kama mkeo kanyooka vipi, vitu vingine vinakukuta tu.

Nashukuru Mungu nilishasema siwezi kuishi na guilty ya kucheat.

Bora ugali dagaa kwenye amani.

Kwanza wakaka kama hawa wanacheat sana 🤣🤣🤣🤣
Shauri yake! Atajibeba!
 
Back
Top Bottom