Usimruhusu mkeo apost insta picha zake wala aende Gym

Usimruhusu mkeo apost insta picha zake wala aende Gym

Mwanamke kiasili hatakiwi kuonja nje😂 na ndio maana hata Eva alivyopigwa miti na Shetani (nyoka) biashara ya Edeni ikawa imeisha sababu asingeweza tena kumsikiliza Adamu. Vivyo hivyo hapa duniani mkeo akigongwa nje tu jua utawala wako umeisha, hatoweza kukusikiliza. Stesheni inakuwa imehama mazima.
Natofautiana na wewe mkuu

Zaidi ya 90% ya wanawake ninao wajua mimi kibaruani wana michepuko yao nje ya ndoa zao na maisha yanakwenda kama kawaida kwenye ndoa zao

Kunacho kuja kutatiza huwa sio kucheat tu bali baada ya kucheat anapagawa vipi hadi kuathiri mahusiano na mumewe

Ni heri sana kupata mwanamke mwenye akili ya kujitambua……. Anaweza akawa na michepuki mitatu na mume akaamini mke wake ni MWAMINIFI MNO

Tatizo kubwa la kucheat ni pale inapokuja kugundulika na mume…… hapa inakuaga utata sana

Asili ya binadamu haikua NDOA, ndio zilikuja ili kupunguza migogoro ya kupata access ya ngono peke yako kwa mwanamke.
 
Kuna mtu alishaandika hivyo humu si muda mrefu.

Kwa kweli na mimi leo nakiri...

Yote hayo kwenye heading nayafanya, na nimefikia kwenye conclusion kwamba... it's very hard kunyooka.

Cha kwanza, sitaongelea gym, ila nazungumzia suala la kupost.

Binafsi sikuwa na profile yoyote yenye jina langu wala picha zangu popote pale kwenye social media (hadi sasa sina jina langu kwenye social media). Nina account za biashara tu.

So this year nilifungua account ila kwa jina la aka ya utotoni.

Napost tu picha zangu kwa ajili ya kumbukumbu.

Napata DM, ila hazishtui, nazignore tu.

Jamani leo nimepata DM moja hivi...

Duuuh, mpaka sasa nashindwa kujicontain aisee.

Mkaka amenyooka, yaani 10/10.

Halafu ni mmoja wa big boys Africa.

Ila ni Mtanzania.

Kwa kweli sikuwahi kumjua... I'm not so much into social media zaidi ya JF.

Ikabidi nimcheki, deep search huko Google...

Mamaaa! A-list kabisa.

Cha mwisho kabisa...

Ana hela.

Kwa anachofanya sikuwahi tu kumjua.

Please, there is always a bigger fish...

Hata mkeo umfanyie nini, honga uwezavyo, kuna mtu atakuzidia sehemu.

Hata kama mkeo kanyooka vipi, vitu vingine vinakukuta tu.

Nashukuru Mungu nilishasema siwezi kuishi na guilty ya kucheat.

Bora ugali dagaa kwenye amani.

Kwanza wakaka kama hawa wanacheat sana 🤣🤣🤣🤣
Mbona sku hizi ishakuwa tu kama fashion hasa ma single mother ndo hatari na vijisababu vyenu vya uongo na kweli
 
Watu migodini hiyo hela ya soda, kuna mademu wanakatiwa ndege go and return wanawekewa dau wengine 20m+.Migodini huko kuna watu wanahela hawajui wazifanyie nini.
Nimezaliwa geita nafahamu hayo mambo, ila nawao Huwa wana fulia, ACHA TU vijana walikua wanapiga mishindo, wanakimbilia crown, alteza harrier nk shida badae wanafilisika yani huruma tupu, walioweza kumaintain pesa za migodini wachache sana, zamani enzi za jakaya kikwete, ilikua Bata sana ila siku hizi mhhh
 
Wasichojua wanawake wengi cheating inaanzia akilini kwenye imagination za mikunjo. Mwanamke akishaingia kwenye ulimwengu wa imagination hizo maana yake yuko 100% attracted to the Guy. Kinachokuwa kimesalia ni jamaa kuonesha interest hata kiduchu tu na kabla hajaanza kufanya hivyo wanawake wengi huwapa signal tu za ku trigger interest.

Before even getting to bed tayari anakuwa amesha register hio immoral act of cheating. This is a typical case ya mtoa mada.
Kana zuga tu
 
Wasichojua wanawake wengi cheating inaanzia akilini kwenye imagination za mikunjo. Mwanamke akishaingia kwenye ulimwengu wa imagination hizo maana yake yuko 100% attracted to the Guy. Kinachokuwa kimesalia ni jamaa kuonesha interest hata kiduchu tu na kabla hajaanza kufanya hivyo wanawake wengi huwapa signal tu za ku trigger interest.

Before even getting to bed tayari anakuwa amesha register hio immoral act of cheating. This is a typical case ya mtoa mada.
Aah familia za tangu 29 oct Extrovert
 
Demu ukimpa Uhuru mwing tegemewa kugongewa randomly 🤣🤣
nina njia zangu za kumkabili uyu msenge Hadi

anasema nizalishe basi nitulie km unaniona Malaya😁😁
Mmekutana pipa na mfuniko, wote vichwa maji.
 
Hata mkeo umfanyie nini, honga uwezavyo, kuna mtu atakuzidia sehemu.

Hata kama mkeo kanyooka vipi, vitu vingine vinakukuta tu.
Sasa wewe umewezaje kushinda hili na wengine washindwe? Unasema hakuna mwanamke anayeweza kukwepa kutembea na mwanaume mwenye pesa, ukamalizia ulishajiapisha hutofanya hivyo!
 
Akiamua kuwekwa hata umfungie chumbani atawekwa tu, swala la mtu kucheat linaanzia moyoni, kama hivi mleta mada unavyoshawishika hapo, moyo ukishatamani huwezi kuurudisha nyuma.
Mimi kuna jambo nalishangaa sana , kama ameamua kuliwa nnje kwanini asiachane na mimi tu, akaliwe kwa uhuru kabisa , inakuaje anataka liwa nnje na bado anataka baki na mimi?
 
Njoo unione mm Nina asili ya kisomali kidogo sipendi mademu sababu Sina hela za kuchezea kuhonga ila mademu wananikubali mnoo hata wew ukiniona hutovhomoa njoo DM
 
Ila Gym si wengi hatupawezi maana hizi nguo za Gym wanazovaa wanawake si wengine kwetu mitihani, wanao wazuia wanawake zao wasiende Gym wapo sawa.
 
Back
Top Bottom