venchwa
JF-Expert Member
- Aug 5, 2016
- 2,222
- 3,160
Hili huwa linanifikirisha sana halafu watu wa kujipost kama hao tayari wameolewa lakini wale ambao ni wife material wapo tu wanasubiri . Dunia haiko fair aiseeHata awe anaSwali swala 5 akiwa Mwanamke wa kujipost haswa Hawa wa kujirikodi na nyimbo huku akirembua na kuramba lips ndio kabisa hawezi kuwa wife material wangu . Sababu anajihatarisha wahuni lazima watatamani anachoringisha na kuanza kutoa comments za kumsifia na kujenga mazingira ya kula kimasihara kirahisi.
Sehemu nzuri ya kulingisha uzuri ni kwa Mume sasa wanaringisha kwa wengine ili iweje , halafu unakuta mtu kaolewa anajipost hovyo na Wanaume wengine majinga nao unapenda kuwapost Wanawake wao hovyo kuvimba kwa Wana ...
Mbona hujamalizia story ulitoa mbunye auKuna mtu alishaandika hivyo humu si muda mrefu.
Kwa kweli na mimi leo nakiri...
Yote hayo kwenye heading nayafanya, na nimefikia kwenye conclusion kwamba... it's very hard kunyooka.
Cha kwanza, sitaongelea gym, ila nazungumzia suala la kupost.
Binafsi sikuwa na profile yoyote yenye jina langu wala picha zangu popote pale kwenye social media (hadi sasa sina jina langu kwenye social media). Nina account za biashara tu.
So this year nilifungua account ila kwa jina la aka ya utotoni.
Napost tu picha zangu kwa ajili ya kumbukumbu.
Napata DM, ila hazishtui, nazignore tu.
Jamani leo nimepata DM moja hivi...
Duuuh, mpaka sasa nashindwa kujicontain aisee.
Mkaka amenyooka, yaani 10/10.
Halafu ni mmoja wa big boys Africa.
Ila ni Mtanzania.
Kwa kweli sikuwahi kumjua... I'm not so much into social media zaidi ya JF.
Ikabidi nimcheki, deep search huko Google...
Mamaaa! A-list kabisa.
Cha mwisho kabisa...
Ana hela.
Kwa anachofanya sikuwahi tu kumjua.
Please, there is always a bigger fish...
Hata mkeo umfanyie nini, honga uwezavyo, kuna mtu atakuzidia sehemu.
Hata kama mkeo kanyooka vipi, vitu vingine vinakukuta tu.
Nashukuru Mungu nilishasema siwezi kuishi na guilty ya kucheat.
Bora ugali dagaa kwenye amani.
Kwanza wakaka kama hawa wanacheat sana 🤣🤣🤣🤣
Matukio gani msiba au sherehe mwanamke kuliwa ataliwa tuu..... Mm sina muda wa kuchunga mtu aliyeambiwa usitoke na akatokaMimi ni kama ndembele tu mke wangu anaonekana siku za matukio maalumu. Nitammiliki na kumlinda kama almasi. Yoyote atakaye onesha dalili za kummezea mate ni risasi tu
life haliko fair kuna watu wapo single hawapati hata hiHili huwa linanifikirisha sana halafu watu wa kujipost kama hao tayari wameolewa lakini wale ambao ni wife material wapo tu wanasubiri . Dunia haiko fair aisee
Mwanamke yeyote analika, n suala la muda tuuNaunga mkono hoja, huku najipiga kifua kwa kumgonga demu aliyeshindiakana hapa Mererani nzima.
Hadi vina wananiuliza natumia dawa gani.
Nami naamini hivyo. Zamani nilikuwa siamini.Mwanamke yeyote analika, n suala la muda tuu
Kulombwa nje n suala la unkwepekabo, umelika au utalika tuu.sio kweli
mi nimeridhika
Mwanamke kulombwa nje n unkwepekaboHii ni kweli kabisa mzee ni suala la muda tu mwanamke hata umpe nini atakuchet hata na mfanyakazi wako wa
Kwani anakusema wewe?hahhahah sasa mimi nimefanyaje jamani
Kama sio umalaya unacheat vp, huko unakocheat unafuata nn?kwani kucheat ni umalaya
Una point aiseekwani kucheat ni umalaya
kwa nini mkuu,mi sioni kosa kumpenda mtu mwingine kama mazingira yanaruhusu.Una point aisee
Kweli kuna 18 mkiingia huwa hamchomoki 📌kwa nini mkuu,mi sioni kosa kumpenda mtu mwingine kama mazingira yanaruhusu.
Mwanamke akipenda huko anakuwa malaya mwanaume anakuwa rijali.
nyie kuna wakaka ukiingia kwenye 18 zao huchomoki
Na hakuna haja ya kuandika, kuliwa mtaliwa tuu hamna uwezo wa kukataa wote.Naogopa kuandika 😂
full burudaniKweli kuna 18 mkiingia huwa hamchomoki 📌
Kuna wangese wanalipa laki kadhaa kwenda kufundishwa kilimo cha vitunguu na huyu manzi. Inasikitisha sana.