Usimsifie mtoto wako wa kiume kuwa ni handsome boy akasikia, utamharibu

''Sio rahisi kukuta kijana Handsome boy anaakili nyingi, sio rahisi. Sio rahisi kukuta kijana Handsome boy NI kichwa darasani. Ni ngumu sana. Sio rahisi kukuta kijana Handsome boy anapesa nyingi au ni tajiri. Sio rahisi.''

Umeandika Uongo hapa.

Sent from my Nokia C1 using JamiiForums mobile app
Sio rahisi haimaanishi kuwa hawapo
S
 
Dogo siku hizi anakosa cha kuandika. Then analazimisha. Mambo ambayo hayapo.
 
Sio rahisi haimaanishi kuwa hawapo
S
Mkuu labda useme wazazi wasiwalee watoto wao wa kiume kilegelege, ila hili la mzazi kwambia mtoto wake kua ni handsome, sio kigezo cha mtoto kuharibikiwa.

Sasa mzazi gani asimsifie mwanae... labda awe wa kusingiziwa[emoji23].

Sent from my Nokia C1 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu labda useme wazazi wasiwalee watoto wao wa kiume kilegelege, ila hili la mzazi kwambia mtoto wake kua ni handsome, sio kigezo cha mtoto kuharibikiwa.

Sasa mzazi gani asimsifie mwanae... labda awe wa kusingiziwa[emoji23].

Sent from my Nokia C1 using JamiiForums mobile app

Maneno ni sehemu ya malezi Mkuu.

Wataalamu wa saikolojia watakuambia nazungumzia nini.

Elewa kuwa mtu huwekeza kwa kile anachosifiwa nacho zaidi na anachopendwa nacho.
 
''Sio rahisi kukuta kijana Handsome boy anaakili nyingi, sio rahisi. Sio rahisi kukuta kijana Handsome boy NI kichwa darasani. Ni ngumu sana. Sio rahisi kukuta kijana Handsome boy anapesa nyingi au ni tajiri. Sio rahisi.''

Umeandika Uongo hapa.

Sent from my Nokia C1 using JamiiForums mobile app

Na imekuwa ni kawaida kwa watu kujiandikia tu mawazo yao wanayoyawaza na kutaka yawe kweli. Ukimuuliza huu utafiti wake ameufanyia wapi, huwezi kupata majibu sahihi yatakayokufanya uamini majumuisho yake.

Je, anataka kusema watu wasio ma handsome ndio wenye akili? Kwanza 'handsome boy' ni mtu wa namna gani?
 
Back
Top Bottom