Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,111
- 53,092
Kila la heriMi mwenyewe nikitaka kuzaa nitatafuta hb nizae nae, siwezi kuzaa na watu wenye sura za songesha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kila la heriMi mwenyewe nikitaka kuzaa nitatafuta hb nizae nae, siwezi kuzaa na watu wenye sura za songesha
Mimi nimemuelewa hakusema haiwezekani, amesema si rahisi means the probability/the chances is low as compared to the counterpart. Yes wachache wanaweza,lakini statistically sio significant.''Sio rahisi kukuta kijana Handsome boy anaakili nyingi, sio rahisi. Sio rahisi kukuta kijana Handsome boy NI kichwa darasani. Ni ngumu sana. Sio rahisi kukuta kijana Handsome boy anapesa nyingi au ni tajiri. Sio rahisi.''
Umeandika Uongo hapa.
Sent from my Nokia C1 using JamiiForums mobile app
😂Robert Heriel Mtibeli na wewe mada zako siku hizi mbili tatu unaandika kama sio yule tuliyekuzoea mwenye nondo za maana.
Sasa mzazi kumwita au kumwambia mtoto handsome kuna shida gani? Labda kama unataka kusema masingle mother kijanja wale wanao peti peti mtoto hadi anakuwa kama zezeta.
Namaste 🙏Kila la heri
😁Huyu kapata ugonjwa wa macho au [emoji1]
Ova
Mkuu kwa kuwa hujawahi kukutana nao wewe, kwanza nilichogundua hawezi kumtongoza mtu anayemjua ama kufamiana naye.Sijawahi amini km Bottom anaweza tongoza mtu hamfaham tena live, labda kupitia cm kwa no au apps. Lol.
inategemea kazi na kaziHata kwenye kuomba kazi mwenye mvuto anaweza pata kirahisi kuliko asiye na mvuto.
mkwepu jr kumbe hupo? Naona umelike comment yangu. Ulipoteaga jamvin.adriz hii inakuhusu. Utawasikia ohh hendsam boy sijui rangi ya mtume.
So what rangi ya mtume?
Yahya sinwar mwenyewe ana rangi ya mtume lakini utadhani panya.
ISRAEL FOREVER
View attachment 2883319
USIMSIFIE MTOTO WAKO WAKIUME KUWA NI HANDSOME BOY AKASIKIA, UTAMHARIBU.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
Wazazi wengi hasa kina mama wameharibu watoto wao wa kiume kwa kuwasifia sifa hii kuwa vijana wao ni Handsome boys, Yaani wavulana wazuri wa maumbile na wenye mvuto wa kimapenzi. Huenda ni kweli kijana wako ni mzuri wa sura na maumbile hasa kimvuto wa kimapenzi lakini huna sababu ya kumwambia akasikia.
Kumwambia kijana wako ni mzuri kutamuathiri kisaikolojia. Na atakosa kuwa mwanaume kamili. Elewa kuwa uanaume kamili unaanzia kichwani yaani mwanaume ni akili. Sifa ya uzuri ni sifa ya Kike au kitu kinachotumiwa.
Mwanaume hatumiwi bali yeye ndiye mtumiaji.
Sio rahisi kukuta kijana Handsome boy anaakili nyingi, sio rahisi. Sio rahisi kukuta kijana Handsome boy NI kichwa darasani. Ni ngumu sana. Sio rahisi kukuta kijana Handsome boy anapesa nyingi au ni tajiri. Sio rahisi.
Handsome boy wengi wameharibika au kuharibiwa akili na maneno ya kuitwa wazuri tangu wakiwa wadogo. Hii inawafanya wawe kama Wanawake tu.
Ni Handsome boy Wachache sana ambao wamebaki na sifa za kiume. Yaani ukute Handsome ambaye kichwani yupo vizuri ni sawa na ukute Mwanamke mwenye matamko makubwa alafu awe na akili. Ni nadra sana. Yaani kwenye Handsome boy 100 basi mmoja ndiye utakuta hajaridhika kiakili.
Wamama, msiwasemee watoto wenu wa kiume maneno ambayo hayawafanyi kuwa wanaume. Hakikisha mtoto wako unamwambia maneno kama; Wewe ni Mwanaume yakupasa uwe Hodari na shujaa" Unaakili sana mwanangu" unanguvu sana" wewe ni mjanja" Wewe ni mchapakazi". Sio mtoto unamsifia ujingaujinga.
Tatizo la kiumbe kikishaitwa kizuri kinaona kinathamani hivyo kinahitaji kuhudumiwa na kutunzwa.
Kijana Handsome anawaza kutafuta wanawake wenye vipato. Anawaza kulelewa. Yaani akili yake imelemaa kwa sababu tangu akiwa mdogo kalelewa kiuzuri uzuri kama Mwanamke. Akikosa vizuri ndio mwishowe anafirwa na kujiingiza kwenye mambo ya kushiba.
Sio ajabu kwa hapa Tanzania Mtu kuwa Handsome boy huonekana kama shoga kwa sababu ya tabia za Handsome boy kutopishana Sana na Mashoga.
Handsome hataki kazi ngumu na chafu. Handsome boy Kazi kujilamba lamba midomo na kurembaremba kama Mwanamke.
Handsome boy fikra na mitazamo yake ukimsikiliza akiongea hana tofauti na Mwanamke Slayqueen.
Yote ni wazazi kuwasemea watoto maneno yasiyoeleweka.
Ni vizuri uwe Handsome boy alafu uwe mwanaume halisi. Familia na jamii itakufurahia.
Sio Handsome boy kutwa kukimbizana na Wake za Watu kama kichaa. Au kuharibi watoto wa Watu.
Kazi hutaki kazi kujisifia ujingaujinga.
Acha nipumzike sasa.
Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa sasa Dar es salaam