Usimsifie mtoto wako wa kiume kuwa ni handsome boy akasikia, utamharibu

Wee ni muongo sana, km ni kweli bas una indicators za u basha,
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jitafakariii
 
Mi mwenyewe nikitaka kuzaa nitatafuta hb nizae nae, siwezi kuzaa na watu wenye sura za songesha
Tafuta mmongoliii uduguu uzae jentromani, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Umenifungua akili maana nilikuwa nawaza siku nyingi ni nini kiliwatenganisha mahandsome na mafanikio!?? Majibu nimeyapata leo...shukrani
 
💯 Umemaliza kila kitu.
 

Watamsifia wengine ndo ataweuka!!
 
Kidogo Niko kinyume na ww MKuu tngu nakua nlikuwa naambiwa nitawatesa sana mademu na kweli nimetembeza ukuni si kidogo na sijaleft group.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…