Usimsikilize Mzanzibari Sama Ukitaka siku yako iishe Vizuri. Anabwatuka

Usimsikilize Mzanzibari Sama Ukitaka siku yako iishe Vizuri. Anabwatuka

figganigga

Platinum Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
28,132
Reaction score
64,416
"Samia: Wakinikera mimi nabwatuka tu, acheni midomo ya uongo" .

Zamani tuliuwa tulikuwa ttunasikiliza hotuba za marais.

Ila huyu Mzanzibari Samia kapoteza Legitimacy. Mwenyewe anakuambia ans bwatuka.

Hotuba yake inakakosa mvuto, vionjo.

Anaongea kama kapewa nafssi asalimie wafiwa.

Hata Ikulu anaiona Chungu. Lini Rais wa Nchi kaishi Tunguu? Hakika viatu vimempwaya.

Hata hivyo vifo vya 29 Oktoba 2025 Zanzibar haviwahusu. Hakuna kiongozi yoyote kutoka Zanzibar alotoa rambirambi
 
Watoe rambirambi inawahusu?
 
Kwanini tupozete focus kuifikiria Zanzibar? Nasisitiza tena na tena tuweke umuhimu na nguvu kwenye Tanganyika yetu tusitoke nje ya mstari.
 
Yaan hawa wauaji wanajiamini kwasababu wanajua watanganyika wengi hawana silaha…ila ni swala la muda tu.
 
Je, kuichukia Zanzibar na wazanzibar ndio suluhisho? Jibu ni moja hapana si suluhisho na sote tufahamu na tukubaliane.

Badala yake tujikite kukumbuka na kuithamini Tanganyika yetu. Jinsi tunavyoitaja na kuimarisha umoja na mshikamano ndivyo tunavyokaribia kufika safari yetu.

Tanganyika sio nchi au mahali au sehemu bali ni state of mind. Tukilitambua hilo na tukiacha kuwapa umuhimu wao, automatically watachuja.

Lengo liwe ni Tanganyika kwanza halafu Tanganyika, Tanganyika, Tanganyika ila mambo mengine na wengineo tusipoteze nguvu zetu na kuwapa umuhimu usio na faida.
 
Back
Top Bottom