Nina Akili Ndogo Sana
JF-Expert Member
- Jun 2, 2026
- 865
- 1,125
NB: Nina Akili Ndogo Sana
Binadamu au kiongozi yeyote yule hapaswi kutukanwa (Hata kama ni wa Christianity, Islam, CHADEMA au CCM)
Kiongozi au Binadamu anapaswa kukosolewa "in a constructive manner" na sio kutukanwa ama kumdhalilisha.