Nina Akili Ndogo Sana
JF-Expert Member
- Jun 2, 2026
- 865
- 1,125
Matusi hayana dili mkuuSs itakuwajeee....
Boss wangu, ukisema kuwa mimi Malala-hoi Mpiga Debe nina akili kisoda unakuwa haujajitukana Bali unakuwa umenisifia sana kwa maana akili zangu mimi ni ndogo saaaaana kukizidi hata hicho kisoda chenyewe.wewe una akili kisoda nakuwa nimekosea?
Mkuu, Siasa za kutukanana mitandaoni kamwe haziwezi kuleta maendeleo katika Tanzania hii.CHADEMA hawawezi kukubaliana nawe.
Rais Samia na Mh. Tundu Lissu waliwahi kumtukana nani??Na yeye kiongozi akimtukana.....afanyaje..!!?
Kama wenye viti, makatibu na viongozi waandamizi wa vyama vyote vya kisiasa hawatukanani, wale wafuasi wasio na ushawishi ndani ya chama, wamejifunzia wapi tabia hiyo mbaya??Na yeye kiongozi akimtukana.....afanyaje..!!?
Vp huyu mkuu??Uko sahihi, ila baadhi ya viongozi wakisikia ukosoaji wa mantiki bado wanaita uchochezi, so what's the formula?
Sad indeedVivyo hivyo kwa hao viongozi kama Samia, tukisema ni kilaza sio kwamba anatukanwa bali sifa ya uwezo wake finyu kiakili na mambo mengine.