Usimuahidi mwanamke kumuoa wakati huna malengo naye

Usimuahidi mwanamke kumuoa wakati huna malengo naye

Rajabmbisha

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2024
Posts
316
Reaction score
530
Heshima yenu wanajf, ipo hivi: Nipo kwenye mahusiano na huyu mwanamke kwa miezi minne sasa. Wakati namtongoza nilimuahidi kumuoa, na hapo ndipo nilikosea—nilimwambia nitamuoa ilhali sikuwa na malengo hayo.

Baada ya mwezi mmoja, usumbufu ukaanza; mara anauliza ni lini naenda kwao kujitambulisha.

Nikawa nampiga tarehe. Nilivyomuahirisha mara nyingi, ilibidi nihadi tena kwamba mwezi huu nitaenda kwao. Kiukweli nilimpa moyo tu, lakini sina nia ya kwenda kwao.

Sasa binti ameacha kazi na kurudi kwao kunisubiri. Najisikia vibaya sana. Natamani nimuambie ukweli kwamba sina malengo naye, lakini najua nikifanya hivyo nitamuumiza sana.

Ninajua ananipenda kupitiliza—hilo sina shaka nalo.

Mwanamke anayekupenda utamjua; mapenzi napewa muda ninaotaka, tena for free. Kosa dogo tu, anaomba msamaha bila kinyongo.

Kuna mengi siwezi kuyaandika yote hapa, lakini hata baada ya kumwonyesha ishara nyingi za kutomhitaji, bado hakati tamaa.

Ujumbe wangu kwa vijana:

Kama mpo kwenye mahusiano, waambieni wanawake wenu ukweli ili wachague wenyewe kuliko kuwadanganya. Na nyie wanawake, muwe mna jiongeza—muda mwingine mnaonyeshwa hamtakiwi, lakini bado mnaendelea kung’ang’ania.

Muwe na siku njema.
 
Heshima yenu wanajf,ipo hivi nipo kwenye mahusiano na huyu mwanamke Kama miezi minne hivi,wakati namutongoza nilimuahidi kumuoa,. Hapo ndo nilipokosea kumuambia nitamuoa wakati sikuwa na malengo hayo,baada mwezi mmoja usumbufu ukaanza unaenda lini nyumbani kujitambulisha nikawa nampigia tarehe, baada ya kumpiga tarehe za kutosha,ilibidi nimuhidi kwamba mwezi huu nitaenda kwao,nilimpa moyo tu kiukweli Sina Nia ya kwenda kwao,ndo hivyo binti ameacha kazi ameenda kwao kunisubiria, najiskia vibaya Sana,natamani nimuambie ukweli Sina malengo nae nahisi Kama nitamuumiza Sana,maana najua ananipenda kupitiliza Sina Shaka na hill mwanamke anakupenda utamjua,penz napewa mda ninaotaka Tena for free kosa dogo tu anaomba msamah,na mengine meng siwez kuandika yote,japo nimemuoneshea ishara nyingi za kutomhitaji lakini Bado hakati tamaa tu,ujumbe wangu kwa vijana ambao wapo kwenye mahusiano waambieni ukweli hao wanawake zenu wachague wenyewe kuliko kuwadanganya,na nyie wanawake muwe mnajiongeza Kuna mda mnaoneshwa hamtakiwi Bado mnaendelea kuang'ang'ania muwe
 
Heshima yenu wanajf,ipo hivi nipo kwenye mahusiano na huyu mwanamke Kama miezi minne hivi,wakati namutongoza nilimuahidi kumuoa,. Hapo ndo nilipokosea kumuambia nitamuoa wakati sikuwa na malengo hayo,baada mwezi mmoja usumbufu ukaanza unaenda lini nyumbani kujitambulisha nikawa nampigia tarehe, baada ya kumpiga tarehe za kutosha,ilibidi nimuhidi kwamba mwezi huu nitaenda kwao,nilimpa moyo tu kiukweli Sina Nia ya kwenda kwao,ndo hivyo binti ameacha kazi ameenda kwao kunisubiria, najiskia vibaya Sana,natamani nimuambie ukweli Sina malengo nae nahisi Kama nitamuumiza Sana,maana najua ananipenda kupitiliza Sina Shaka na hill mwanamke anakupenda utamjua,penz napewa mda ninaotaka Tena for free kosa dogo tu anaomba msamah,na mengine meng siwez kuandika yote,japo nimemuoneshea ishara nyingi za kutomhitaji lakini Bado hakati tamaa tu,ujumbe wangu kwa vijana ambao wapo kwenye mahusiano waambieni ukweli hao wanawake zenu wachague wenyewe kuliko kuwadanganya,na nyie wanawake muwe mnajiongeza Kuna mda mnaoneshwa hamtakiwi Bado mnaendelea kuang'ang'ania muwe na cku njem
Ukirogaa unalalamikaa
 
Hujachelewa mwanetu ,Ukishamaliza kusoma post hii mwambie binti hutamuowa na omba Toba maana ushasema huna nia,ila bado unafanya vitendo vya kuonyesha una nia
 
Back
Top Bottom