Kunguru wa Manzese
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 12,729
- 18,119
Namuonea huruma huyo binti . Hawa baadaye ndio wanakuwa nunda kwenye mapenziYeah hapo chamsingi ni kuomba tu Mungu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Namuonea huruma huyo binti . Hawa baadaye ndio wanakuwa nunda kwenye mapenziYeah hapo chamsingi ni kuomba tu Mungu
Sawa lakini wewe ndo mwenye kosa, ulikuta dada wa watu katulia hana hili Wala lile.. Na nyie wanawake, muwe mna jiongeza—muda mwingine mnaonyeshwa hamtakiwi, lakini bado mnaendelea kung’ang’ania.
Kweli mkuu nitamuambia ukwel najua ataumia lakini itakuwa Ni tibaHilo sio kosa lako mkuu. Ni kosa lake. Kwanini akuamini kizembe hivyo. Kuamini haraka ni dhambi. Wewe hapo ni shetani yeye ni Adam na Eve. Nyote mna viti vyenu sehemu msipojifunza userious na kukimbizana na muda.
Hata mimi nipo kwenye mahusiano lakini najua anytime mambo yanaweza enda mlama na niko tayari kuikabili hali. Kila mtu ajifunze hilo.
NB. Mwambie ukweli. Hii itakufanya uwe huru na yeye ajipange kufungua moyo kwa wale aliowalingia akiamini yupo kwa muoaji.
Maisha mafupi kamanda, jifunze userious na k
📌Mungu hakupi unacho kitaka bali hukupa unacho sitahiri, sasa wenda huyo binti ndo anaye kusitahili ila ww humtaki ,utamuacha alafu utaenda kuoa unaye mpenda lakini hakustaili kuwa mkeo na hakuna rangi utaacha kuiona.
Alafu hakuna bahati kwa mwanaume kuoa mwanamke anaye kupenda kuliko ww unavyo mpenda.
Vijana wanaangalia sifa ambazo hazina faida yoyote kwenye ndoa hapo si ajabu kosa la uyo mwanamke ni kukosa sifa za kuitwa pisi kaliHuyo ndio wife material sasa ndio mwanamke mwenye sifa za kuolewa.Na kuna faida za kuoa mwanamke ANAYEKUPENDA yeye zaidi kukuliko wewe.KULIKO kwenda kuoa mwanamke ambaye Wewe UNAMPENDA ZAIDI kuliko yeye anavyokuchukulia kawaida tu , na kama yeye atakuwa hakupendi kwa moyo wake wote kama huyo unayetaka kumuacha ,basi inawezekana kuna mtu mwingine ambaye sio wewe atakuwa anampenda zaidi kuliko wewe kama bado hajampata basi yupo kwenye ndoto zake mawazo yake picha ya mtu anayemtaka kuna siku atampata mtu wa ndoto zake.
Kuna mdogo wangu alishawahi kupitia hali kama yako ya Kumkataa mwanamke aliyempenda tena alimfukuza kama MBWA akaenda kujichomeka kwa mwanamke MROMBO mmoja pasua kichwa Alimnyoosha akanyanyua mikono juu akarudisha mpira kwa kipa.Akamrudia yule mwanamke wa mwanzo aliyekuwa anampenda sana.Mpaka sasa wanaishi maisha ya ndoa yenye amani na furaha katika dhiki na raha ,uzima na maradhi...wote wanapambana ,familia yao iko byee...
HITIMISHO
HUYO MWANAMKE UNAYEMKATAA INAWEZEKANA NDIO SAHIHI ZAIDI KWAKO.
Vijana wanafeli padogo sana ,wanashindwa kutofautisha kati ya mwanamke wa kuoa na mwanamke wa kuspendi naye tu kwenda club outing na wa kumtumia tu ,,ila hatakiwi kuolewa...wakipigwa na kitu kizito waakuja kulalamika hapa kataa ndoa mara wanawake hawafai...Vijana wanaangalia sifa ambazo hazina faida yoyote kwenye ndoa hapo si ajabu kosa la uyo mwanamke ni kukosa sifa za kuitwa pisi kali
Usikae penzini na mwanamke yoyote kama humaanishi kumuoa, kama unapita tu jitahidi penzi lisivuke mwezi mmojaHamn Cha mahari Wala nini anachotaka ndoa tu
Huyo ndio wife material sasa ndio mwanamke mwenye sifa za kuolewa.Na kuna faida za kuoa mwanamke ANAYEKUPENDA yeye zaidi kukuliko wewe.KULIKO kwenda kuoa mwanamke ambaye Wewe UNAMPENDA ZAIDI kuliko yeye anavyokuchukulia kawaida tu , na kama yeye atakuwa hakupendi kwa moyo wake wote kama huyo unayetaka kumuacha ,basi inawezekana kuna mtu mwingine ambaye sio wewe atakuwa anampenda zaidi kuliko wewe kama bado hajampata basi yupo kwenye ndoto zake mawazo yake picha ya mtu anayemtaka kuna siku atampata mtu wa ndoto zake.
Kuna mdogo wangu alishawahi kupitia hali kama yako ya Kumkataa mwanamke aliyempenda tena alimfukuza kama MBWA akaenda kujichomeka kwa mwanamke MROMBO mmoja pasua kichwa Alimnyoosha akanyanyua mikono juu akarudisha mpira kwa kipa.Akamrudia yule mwanamke wa mwanzo aliyekuwa anampenda sana.Mpaka sasa wanaishi maisha ya ndoa yenye amani na furaha katika dhiki na raha ,uzima na maradhi...wote wanapambana ,familia yao iko byee...
HITIMISHO
HUYO MWANAMKE UNAYEMKATAA INAWEZEKANA NDIO SAHIHI ZAIDI KWAKO.
2.Kuna mifano ya baadhi ya wanaume waliwakataa wanawake wa aina hii wife material wenye mapenzi ya kweli,wakaruka mkojo waka kanyaga mavi wakawavamia wanawake PASUA KICHWA wakapigwa na VITU VIZITO wakakumbuka kuwarudia wale wanawake wa mwanzo,wakakuta wameshaolewa ,mana wanawake wenye sifa za kuolewa wife material huwa wanaolewa haraka sana ,kwa mwanaume anayejua wife material na mwwnye nia ya kuoa akikutana naye atamgundua upesi na kumuoa (kama almasi ikiwa kwenye mcangani hungaa na kuonekana).
MWANAUME anajua MWANAMKE WA KUOA na mwanamke wa kuspend naye tu ambaye hatakiwi kuolewa.
Vijana wadogo hawajui kutofautisha wanapenda kukimbilia wanawake ambao ni kwa ajili ya kuspendi nao sio wa kuoa KUnguRU ASIYEFAA KUFUGWA wao ndio hutaka kuwaoa hao kujaribu kuwafuga mwisho wa siku wanaambukia kupigwa na vitu vizito,wanakuja kulalamika kataa ndo ,kumbe wameshindwa kutofautisha mwanamke wa kuoa na asiye wa kuoa.
kwanini humtak binti wa watu sasa? kama umekiri kuwa anakupenda?Heshima yenu wanajf, ipo hivi: Nipo kwenye mahusiano na huyu mwanamke kwa miezi minne sasa. Wakati namtongoza nilimuahidi kumuoa, na hapo ndipo nilikosea—nilimwambia nitamuoa ilhali sikuwa na malengo hayo.
Baada ya mwezi mmoja, usumbufu ukaanza; mara anauliza ni lini naenda kwao kujitambulisha.
Nikawa nampiga tarehe. Nilivyomuahirisha mara nyingi, ilibidi nihadi tena kwamba mwezi huu nitaenda kwao. Kiukweli nilimpa moyo tu, lakini sina nia ya kwenda kwao.
Sasa binti ameacha kazi na kurudi kwao kunisubiri. Najisikia vibaya sana. Natamani nimuambie ukweli kwamba sina malengo naye, lakini najua nikifanya hivyo nitamuumiza sana.
Ninajua ananipenda kupitiliza—hilo sina shaka nalo.
Mwanamke anayekupenda utamjua; mapenzi napewa muda ninaotaka, tena for free. Kosa dogo tu, anaomba msamaha bila kinyongo.
Kuna mengi siwezi kuyaandika yote hapa, lakini hata baada ya kumwonyesha ishara nyingi za kutomhitaji, bado hakati tamaa.
Ujumbe wangu kwa vijana:
Kama mpo kwenye mahusiano, waambieni wanawake wenu ukweli ili wachague wenyewe kuliko kuwadanganya. Na nyie wanawake, muwe mna jiongeza—muda mwingine mnaonyeshwa hamtakiwi, lakini bado mnaendelea kung’ang’ania.
Muwe na siku njema.
Hapana oa ambaye unampenda hiyo ndiyo principle na nature inavyotaka, ukimuoa anayekupenda hiyo ndoa itasumbua sanaMkuu huyo ndio wife material nimeexprience kitu kimoja kwa sisi wanaume usioe mwanamke unayempenda kwa dhati utaumia sana,oa yule anayezima data kwako hutajuta hata kama humpendi force weka ndani.