Usimuahidi mwanamke kumuoa wakati huna malengo naye

Mungu hakupi unacho kitaka bali hukupa unacho sitahiri, sasa wenda huyo binti ndo anaye kusitahili ila ww humtaki ,utamuacha alafu utaenda kuoa unaye mpenda lakini hakustaili kuwa mkeo na hakuna rangi utaacha kuiona.

Alafu hakuna bahati kwa mwanaume kuoa mwanamke anaye kupenda kuliko ww unavyo mpenda.
Baadaye atakuja kutoa mlio humu, sema haya mambo yako pande zote........mademu nao wamo kuwapiga chini mabaharia, sema mabaharia wanajifanya roho ngumu.
 
Yaa ni kweli kabisa hilo lina tughalimu sana sisi vijana wa kusasa wakike kwa wakiume maana hisia ikisha tutawala basi akili tunaiweka pembeni.
Mungu anakuletea mtu sahihi kwenye maisha yako ww una mkataa kwa vigezo vya kijinga kabisa na mpaka unakuja kugundua kuwa huyo mtu uliye mkataa na kumfanyia visa ndo alikuwa sahihi kwangu tiyari unakuwa umechelewa.
Mfano hawa wanawake ambao sasa hivi wanaoshinda makanisani na waganga kutafuta wanaume wa kuwaoa, huko nyuma mungu alisha waletea wanaume sahihi katika maisha yao lakini hawakuwa na muda nao bali walikuwa bize kugawa mbususu kwa watu wasio na malengo nao zaidi ya kuwatumia tu.

Hata wanaume walio oa wengi wao walisha letewa wanawake sahihi kwenye maisha yao wakawachezea badala yake wakaenda kuoa malaya na kuwaleta ndani sasa hivi wanalia na kusaga meno.
Ukitaka uishi kwa amani kwenye ndoa inatakiwa uoe mwanamke ambaye ana jiona ana bahati kuwa na ww na sio ww ndo ujione una bahati kuwa na yeye utajuta kuoa.
 
Dawa yenu ni kurogwa tu,. Huyo binti nae hazimtoshi.

Unaachaje kazi jamani??,. Mbona mtu asiyekuwa na nia anajulikana tu😔😔
 
Heshima yenu wanajf, ipo hivi: Nipo kwenye mahusiano na huyu mwanamke kwa miezi minne sasa. Wakati namtongoza nilimuahidi kumuoa, na hapo ndipo nilikosea—nilimwambia nitamuoa ilhali sikuwa na malengo hayo.

Baada ya mwezi mmoja, usumbufu ukaanza; mara anauliza ni lini naenda kwao kujitambulisha.

Nikawa nampiga tarehe. Nilivyomuahirisha mara nyingi, ilibidi nihadi tena kwamba mwezi huu nitaenda kwao. Kiukweli nilimpa moyo tu, lakini sina nia ya kwenda kwao.

Sasa binti ameacha kazi na kurudi kwao kunisubiri. Najisikia vibaya sana. Natamani nimuambie ukweli kwamba sina malengo naye, lakini najua nikifanya hivyo nitamuumiza sana.

Ninajua ananipenda kupitiliza—hilo sina shaka nalo.

Mwanamke anayekupenda utamjua; mapenzi napewa muda ninaotaka, tena for free. Kosa dogo tu, anaomba msamaha bila kinyongo.

Kuna mengi siwezi kuyaandika yote hapa, lakini hata baada ya kumwonyesha ishara nyingi za kutomhitaji, bado hakati tamaa.

Ujumbe wangu kwa vijana:

Kama mpo kwenye mahusiano, waambieni wanawake wenu ukweli ili wachague wenyewe kuliko kuwadanganya. Na nyie wanawake, muwe mna jiongeza—muda mwingine mnaonyeshwa hamtakiwi, lakini bado mnaendelea kung’ang’ania.

Muwe na siku njema.
Unamuona hafai kwa sasa ila utakacho kipata huko mbele baada ya kuondoka huyo dada ndio utajuta what goes around cames around,muoe huyohuyo ndio utaenjoy ndoa ila ukimuacha utakacho kipata itakua vice vesa,bahati huwa haiji mara 2 hasa ndoa na mahusiano mazuri.
 
Heshima yenu wanajf, ipo hivi: Nipo kwenye mahusiano na huyu mwanamke kwa miezi minne sasa. Wakati namtongoza nilimuahidi kumuoa, na hapo ndipo nilikosea—nilimwambia nitamuoa ilhali sikuwa na malengo hayo.

Baada ya mwezi mmoja, usumbufu ukaanza; mara anauliza ni lini naenda kwao kujitambulisha.

Nikawa nampiga tarehe. Nilivyomuahirisha mara nyingi, ilibidi nihadi tena kwamba mwezi huu nitaenda kwao. Kiukweli nilimpa moyo tu, lakini sina nia ya kwenda kwao.

Sasa binti ameacha kazi na kurudi kwao kunisubiri. Najisikia vibaya sana. Natamani nimuambie ukweli kwamba sina malengo naye, lakini najua nikifanya hivyo nitamuumiza sana.

Ninajua ananipenda kupitiliza—hilo sina shaka nalo.

Mwanamke anayekupenda utamjua; mapenzi napewa muda ninaotaka, tena for free. Kosa dogo tu, anaomba msamaha bila kinyongo.

Kuna mengi siwezi kuyaandika yote hapa, lakini hata baada ya kumwonyesha ishara nyingi za kutomhitaji, bado hakati tamaa.

Ujumbe wangu kwa vijana:

Kama mpo kwenye mahusiano, waambieni wanawake wenu ukweli ili wachague wenyewe kuliko kuwadanganya. Na nyie wanawake, muwe mna jiongeza—muda mwingine mnaonyeshwa hamtakiwi, lakini bado mnaendelea kung’ang’ania.

Muwe na siku njema.
Wewe unastahili ufungiwe jiwe la kusagia utupwe baharini.
 
Kazana mwingne alifanywa haoni mlango wa kwake siku 7 anazunguka tu haoni mlango, siku ya Saba ndo anauona alafu anamkuta mwanamke mlangoni anamuuliza utanioa hunioi?
Na alionywa toka mwanzo na wenyeji kama humuoi huyo bint mwambie mapema ila ye akasema anaoa alafu badae bidada kapata mimba anaanza habari za ooh kwetu wamekataa nisioe kabila tofauti dada akasema sawa. Sasa na wewe unatafuta mrogo.
 
Hawana masihala tena ukute ndio over 30+,hawa wakiongea wana maanisha yani ubaya ubaya,kuna mabinti na hela zao wanavyo itafuta ndoa mpaka mahali wanajilipia na kuna wengine wenye vipato wanagharamia sehemu ya sherehe upande wa mwanaume, sasa mwanamke kama huyu uingie na gia ya kuoa umwache kudadadeki yaani huchomoki hapa. Bora tu uwe mzee wa kula kimasihara,ile ya kujenga urafiki unapiga na kuamsha.
 
Sema washkaji hii gia iacheni tafuteni gia nyingine igiza hata kutaka kufa kwa ajili yake ila usitamke ndoa wanawake wanaroga vibaya nyie acheni ndio mbususu saa nyengine zinasumbua ila haya mambo acheni

Kipindi niko Morogoro namsaidia mjomba angu mganga kuchinja mbuzi ,vikuku na kukata miti ya dawa wateja wengi ni wanawake na wanaroga wanaume
 
Heshima yenu wanajf, ipo hivi: Nipo kwenye mahusiano na huyu mwanamke kwa miezi minne sasa. Wakati namtongoza nilimuahidi kumuoa, na hapo ndipo nilikosea—nilimwambia nitamuoa ilhali sikuwa na malengo hayo.

Baada ya mwezi mmoja, usumbufu ukaanza; mara anauliza ni lini naenda kwao kujitambulisha.

Nikawa nampiga tarehe. Nilivyomuahirisha mara nyingi, ilibidi nihadi tena kwamba mwezi huu nitaenda kwao. Kiukweli nilimpa moyo tu, lakini sina nia ya kwenda kwao.

Sasa binti ameacha kazi na kurudi kwao kunisubiri. Najisikia vibaya sana. Natamani nimuambie ukweli kwamba sina malengo naye, lakini najua nikifanya hivyo nitamuumiza sana.

Ninajua ananipenda kupitiliza—hilo sina shaka nalo.

Mwanamke anayekupenda utamjua; mapenzi napewa muda ninaotaka, tena for free. Kosa dogo tu, anaomba msamaha bila kinyongo.

Kuna mengi siwezi kuyaandika yote hapa, lakini hata baada ya kumwonyesha ishara nyingi za kutomhitaji, bado hakati tamaa.

Ujumbe wangu kwa vijana:

Kama mpo kwenye mahusiano, waambieni wanawake wenu ukweli ili wachague wenyewe kuliko kuwadanganya. Na nyie wanawake, muwe mna jiongeza—muda mwingine mnaonyeshwa hamtakiwi, lakini bado mnaendelea kung’ang’ania.

Muwe na siku njema.
Mwambie huna nguvu za kiume huwezi kumuoa kisha ukamtese😆
 
Back
Top Bottom