Usimuahidi mwanamke kumuoa wakati huna malengo naye

Hali yako naielewa na kinachokuumiza zaidi ni kumuuzima moyo yake kwa uongo wako. Ila jua ya kwamba... iwe isiwe lazima aumie ndo apone. Heri aumie mapema kuliko aumie muda ukiwa umeenda. Pia kama hana kasoro we ishi naye kwa sababu sisi binadamu huwa tuna watu wetu kichwani wenye vigezo fulani na umbo fulani tunaowawaza tuwapate tuwe nao maishani. Lakini hatujui kuwa unaweza ishi na mtu yoyote duniani na maisha yakawa mazuri tu. Hivyo narudia kama yupo wastani tu we ishi naye na mzae baadaye utanielewa.
 
Ni

Ni mzuri tu Bado mdog miaka 20
 
Mungu hakupi unacho kitaka bali hukupa unacho sitahiri, sasa wenda huyo binti ndo anaye kusitahili ila ww humtaki ,utamuacha alafu utaenda kuoa unaye mpenda lakini hakustaili kuwa mkeo na hakuna rangi utaacha kuiona.

Alafu hakuna bahati kwa mwanaume kuoa mwanamke anaye kupenda kuliko ww unavyo mpenda.
 
Back
Top Bottom