Baadaye atakuja kutoa mlio humu, sema haya mambo yako pande zote........mademu nao wamo kuwapiga chini mabaharia, sema mabaharia wanajifanya roho ngumu.Mungu hakupi unacho kitaka bali hukupa unacho sitahiri, sasa wenda huyo binti ndo anaye kusitahili ila ww humtaki ,utamuacha alafu utaenda kuoa unaye mpenda lakini hakustaili kuwa mkeo na hakuna rangi utaacha kuiona.
Alafu hakuna bahati kwa mwanaume kuoa mwanamke anaye kupenda kuliko ww unavyo mpenda.
Yaa ni kweli kabisa hilo lina tughalimu sana sisi vijana wa kusasa wakike kwa wakiume maana hisia ikisha tutawala basi akili tunaiweka pembeni.Baadaye atakuja kutoa mlio humu, sema haya mambo yako pande zote........mademu nao wamo kuwapiga chini mabaharia, sema mabaharia wanajifanya roho ngumu.
Unamuona hafai kwa sasa ila utakacho kipata huko mbele baada ya kuondoka huyo dada ndio utajuta what goes around cames around,muoe huyohuyo ndio utaenjoy ndoa ila ukimuacha utakacho kipata itakua vice vesa,bahati huwa haiji mara 2 hasa ndoa na mahusiano mazuri.Heshima yenu wanajf, ipo hivi: Nipo kwenye mahusiano na huyu mwanamke kwa miezi minne sasa. Wakati namtongoza nilimuahidi kumuoa, na hapo ndipo nilikosea—nilimwambia nitamuoa ilhali sikuwa na malengo hayo.
Baada ya mwezi mmoja, usumbufu ukaanza; mara anauliza ni lini naenda kwao kujitambulisha.
Nikawa nampiga tarehe. Nilivyomuahirisha mara nyingi, ilibidi nihadi tena kwamba mwezi huu nitaenda kwao. Kiukweli nilimpa moyo tu, lakini sina nia ya kwenda kwao.
Sasa binti ameacha kazi na kurudi kwao kunisubiri. Najisikia vibaya sana. Natamani nimuambie ukweli kwamba sina malengo naye, lakini najua nikifanya hivyo nitamuumiza sana.
Ninajua ananipenda kupitiliza—hilo sina shaka nalo.
Mwanamke anayekupenda utamjua; mapenzi napewa muda ninaotaka, tena for free. Kosa dogo tu, anaomba msamaha bila kinyongo.
Kuna mengi siwezi kuyaandika yote hapa, lakini hata baada ya kumwonyesha ishara nyingi za kutomhitaji, bado hakati tamaa.
Ujumbe wangu kwa vijana:
Kama mpo kwenye mahusiano, waambieni wanawake wenu ukweli ili wachague wenyewe kuliko kuwadanganya. Na nyie wanawake, muwe mna jiongeza—muda mwingine mnaonyeshwa hamtakiwi, lakini bado mnaendelea kung’ang’ania.
Muwe na siku njema.
Wewe unastahili ufungiwe jiwe la kusagia utupwe baharini.Heshima yenu wanajf, ipo hivi: Nipo kwenye mahusiano na huyu mwanamke kwa miezi minne sasa. Wakati namtongoza nilimuahidi kumuoa, na hapo ndipo nilikosea—nilimwambia nitamuoa ilhali sikuwa na malengo hayo.
Baada ya mwezi mmoja, usumbufu ukaanza; mara anauliza ni lini naenda kwao kujitambulisha.
Nikawa nampiga tarehe. Nilivyomuahirisha mara nyingi, ilibidi nihadi tena kwamba mwezi huu nitaenda kwao. Kiukweli nilimpa moyo tu, lakini sina nia ya kwenda kwao.
Sasa binti ameacha kazi na kurudi kwao kunisubiri. Najisikia vibaya sana. Natamani nimuambie ukweli kwamba sina malengo naye, lakini najua nikifanya hivyo nitamuumiza sana.
Ninajua ananipenda kupitiliza—hilo sina shaka nalo.
Mwanamke anayekupenda utamjua; mapenzi napewa muda ninaotaka, tena for free. Kosa dogo tu, anaomba msamaha bila kinyongo.
Kuna mengi siwezi kuyaandika yote hapa, lakini hata baada ya kumwonyesha ishara nyingi za kutomhitaji, bado hakati tamaa.
Ujumbe wangu kwa vijana:
Kama mpo kwenye mahusiano, waambieni wanawake wenu ukweli ili wachague wenyewe kuliko kuwadanganya. Na nyie wanawake, muwe mna jiongeza—muda mwingine mnaonyeshwa hamtakiwi, lakini bado mnaendelea kung’ang’ania.
Muwe na siku njema.
Sifa ya moyo tamaa, Tamaa ya moyo, inaweza kukuweka matatani
Tena wanarogwa vibayaa, hawasikii tyuuh.Nenda kamlipie mwenzako mahari umuoe. Ndiyo maana mnarogwa nyie.
Kwanini hakumuua kabisaa? AaaahKuna swahiba wangu alirogwa had leo ni chizi kwasabb km hio yako
We si unajua hua tunatongoza ikiwa kama nature yetu we are predators nyie ni preysHuna malengo naye means humpend Tena au hujawah mpenda ulikua naye Kwa tamaa zako binafsi?
Tukiwa tunataka kupita huwa tunaonekana tuna nia huwezi kutujua leejay kikubwa muombe MunguDawa yenu ni kurogwa tu,. Huyo binti nae hazimtoshi.
Unaachaje kazi jamani??,. Mbona mtu asiyekuwa na nia anajulikana tu[emoji17][emoji17]
Yeah hapo chamsingi ni kuomba tu MunguTukiwa tunataka kupita huwa tunaonekana tuna nia huwezi kutujua leejay kikubwa muombe Mungu
Akuepushe na mafurushi
Mwambie huna nguvu za kiume huwezi kumuoa kisha ukamtese😆Heshima yenu wanajf, ipo hivi: Nipo kwenye mahusiano na huyu mwanamke kwa miezi minne sasa. Wakati namtongoza nilimuahidi kumuoa, na hapo ndipo nilikosea—nilimwambia nitamuoa ilhali sikuwa na malengo hayo.