Usimuamini sana mtoto wa kike, kwenye mahusiano kuwa na kiasi

Hao wanaolialia ndio wabaya saaana
Yaani ukimuona analialia, anamtaja Yesu kila mara
Huyo wee nenda tu umdukue utagundua mengi sana
 
Dah nimecheka sana eti angeweza kuchukua world cup[emoji38] [emoji38] hawa watu sio kabisa yani dah.
 
We jamaa aisee chunga sana.
 
Siku ya kwanza nimefuma ujinga kwenye simu,halaf nikakausha, nikamuuliza maswali ya kumchora tu; ilikuwa psychological experiment ya kutosha ya kugundua kuwa wanawake ni cold hearted liars. Tena ukizingatia alikuwa mpole, classic, strict na wife material, basi hiyo siku nilinyoosha mikono. Nikasema ujanja wangu wote wa kuwachezea hawa viumbe, kweli siwajui.
That day, a monster was born.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…