Usimuamini sana mtoto wa kike, kwenye mahusiano kuwa na kiasi

Sio rahisi kukubali. Anaweza kubisha hadi ukajihisi unamsingizia. Ndiomaana tuliambiawa tuishi nao kwa akili
 
Hapana mkuu, si wa kwanza. Nilijaribu tu ku share hiki kisa. Kwasababu wahanga ni wengi.
sawa bwana pole sana naona demu alikuzidi ujanja kiaina maana kama ana mtu kumi kukupoteza wewe sio issue kwake issue ni wewe uliyekuwa na demu mmoja na ukampoteza wote
 
sawa bwana pole sana naona demu alikuzidi ujanja kiaina maana kama ana mtu kumi kukupoteza wewe sio issue kwake issue ni wewe uliyekuwa na demu mmoja na ukampoteza wote
Kweli hata me ndo nilivyoona hana cha kupoteza, japo aliendelea kunisumbua nikawa nampotezea.
 
at first ulianza vizuri kutomuambia makosa yake jus direct ..ulipaswa muacha vile vile ajiulze maswali had achoke mradi wewe ndo unaejua ukweli kumuhusu yeye ...

ukaja kuaribu baada ya kumwambia makosa yake then later on akaonesha kukudharau na kukuuliza maswali ya ajabu

hapo unakuwa umempa nafasi ya kushinda wakati mwanzo ulishinda wewe ...

NB ..mueleze mtu makosa yake yule unaetaka rudiana nae au uko tayari kurudiana nae ila kama haurud A simple text like it ova btn us is more than enough
 
Kweli hata me ndo nilivyoona hana cha kupoteza, japo aliendelea kunisumbua nikawa nampotezea.
siku nyingine ukiona demu anaanza kukuonesha wenge kama kutopokea simu au kutojibu msg kwa wakati ujiongeze mapema halafu uwe na demu wa Akiba usitegemee demu mmoja tu kama mama yako mzazi kuwa na wawili watatu akizingua huyu unahamisha majeshi kwa yule
 
Naam hapo ndipo tunapojifunza siku hadi siku. Makosa hayawezi kujirudia. Japo aliendelea kutaka nimrudie nikampotezea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…