Usimuonee huruma Mwanamke

Imenigusa SANA
 
Lazima upanic mkuu wanawake wapumbavu Ni wengi sna ww unafkir watashindwa kukuaribia watoto wako wa kike apo badae
Mkuu Mwanamke anaweza kuwa unavyotaka wewe awe. Tatizo wanaume wengi hujisahau na kwa udhaifu huo unamfanya mwanamke atawale kila kitu cha mwanamme kuanzia ubongoni hadi kuchani
 
Hakuna Gene za udhaifu Ni malezi mabovu kutoka kwa mama yake , mtu anajua shoga amerithi kwa nan
Anayekwambia mtoto analelewa na mzazi mmoja pekee yake ni nani? Malezi ya mtoto ni ya wote baba na mama kuna mambo anajifunza kutoka kwa baba na mengine kutoka kwa mama na hata, namna wazazi mnavyoishi mnachagia kuinduce hayo maisha kwenye akili za watoto wenu
 
Wasilaumiwe wanawake tu je wewe mwanaume mwenye akili unashindwa nini kumfanya mwanamke akawa na akili?
Binadam wto akili na ustaarabu wote anaetufundisha Ni mama , fuatilia mkuu kwanzia miaka ya 70 wanawake walipo Anza harakati za haki sawa ndipo kizazi kikaoza
 
Mkuu Mwanamke anaweza kuwa unavyotaka wewe awe. Tatizo wanaume wengi hujisahau na kwa udhaifu huo unamfanya mwanamke atawale kila kitu cha mwanamme kuanzia ubongoni hadi kuchani
Hii kitu Ni mbaya sna mwanaume wa ovyo Ni yule anampa mwanamke haki sawa na yeye
 
Kabisa mkuu kizazi lazma kiwe na wanaume wa ovyo kutokana na haki sawa na usingle mother chanzo Ni mwanamke na wanaume wachache wa ovyo kukubali hi kitu.
 
Binadam wto akili na ustaarabu wote anaetufundisha Ni mama , fuatilia mkuu kwanzia miaka ya 70 wanawake walipo Anza harakati za haki sawa ndipo kizazi kikaoza
Mimi binafsi misimamo katika maisha ya ndoa nimerithi kwa baba namna ya kuihudumia familia(majukumu ya baba) nilikuwa naona namna mzee anavyotoa pesa za kununua vitu namna anavyokula na zawadi akisafiri so on, na mambo mengine nimechukua uzoefu kutoka kwa mama
 
Haujakutana na mwanamke mpumbavu , ukikutana na wapumbavu utahudumia kila kitu lakin Cha moto utakiona . Tazama hili Jambo kwa upana utatengeneza familia Bora watakuja kuchangamana na kizazi Cha ovyo wataiga .
 
Mkuu humpi,bali HUJINYAKULIA kutokana nakakitu kadogo kakiudhaifu atakacho kagundua unako. Usiombe ikikute utavaa soksi kichwani badala ya mguuni
Haumpi wap , ww upo nchi gan mkuu , tushakubali mda bila kujielewa tushapotea mbona ,Hadi ulinzi wa nyumba tumetoa mkuu , uzungu katikati ya jamii ya mtu mweusi Ni wakupingwa vikal .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…