Usimuonee huruma Mwanamke

Usimuonee huruma Mwanamke

We jamaa nakuonaga mara nyingi sana humu sina shaka kama huna vinasaba vya Aggrey ama Dulvani maana kwenye mada za malaya unajifanyaga mtetezi sana. Napata mashaka na washeli yako kama kweli bado itakuwa sealed!

Mkuu[emoji23]
 
We jamaa nakuonaga mara nyingi sana humu sina shaka kama huna vinasaba vya Aggrey ama Dulvani maana kwenye mada za malaya unajifanyaga mtetezi sana. Napata mashaka na washeli yako kama kweli bado itakuwa sealed!
Kwamba hana Stamala Wajada kwa mwaikimba hakupo salama [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Lakini ndoa zinatukuta kwa bahati mbaya Sana!sitokaa nifunge ndoa na mwanamke yeyote tutalea watoto tu!!!

mkuu una maana gani kusema mtalea watoto TU, una maanisha kuwa utalea ukiwa nao mjengoni japo hujafunga nae ndoa ama utalea nao watoto mkiwa mbali mbali!!?
 
[emoji38][emoji38] sawa mkuu. Asante kwa ushauri. Lkn ivi hutuonei kweli jmn


Nawapenda Sana.
Na nawaheshimu Sana
Siwezi kuwaonea na sijawahi kuonea mtoto wa kike.


Lakini huruma Kwa kweli sina nanyi.

Tena mwanamke akitaka nimchukie alete mambo ya kutaka kuonewa huruma huruma za kipuuzi. Huyo tunashindwana mapema Sana.

Na hii nakuelekeza nawe, muepuke mtu anayependa kuonewa huruma. Tena usimuonee mtu huruma utakuja kunishukuru.

MPE mtu anachostahili.
 
USIMUONEE HURUMA MWANAMKE.

Kwa Mkono wa Robert Heriel.

Wangestahili huruma lakini si sasa.
Wangestahili kupendwa lakini si Zama hizi.
Wangestahili kujaliwa na kuheshimiwa lakini hiyo ingefaa Zama zile sio Zama hizi.

Hata zamani walipokuwa wanasifa za wanawake hawakuonewa huruma sembuse sasa ambapo wamepoteza sifa ya uanamke Kwa 90%. Sasa hivi ndio hawapaswi kuonewa huruma hata kidogo.

Ni Mama zetu, shangazi zetu, wake zetu, dada na Bibi zetu lakini kamwe usimuonee mwanamke huruma hasa katika Zama hizi. Ni kitanzi na kaburi lako mwenyewe.

Siwafundishi roho mbaya Kwa maana sio asili yetu wanaume. Sisi ni watu wema tangu kale mpaka pale huruma mbaya ilipotuingia na hapo ndipo ubaya ukatuingia.

Jitahidi kuwa mbinafsi Kwa kadiri utakavyoweza ili kujifurahisha wewe mwenyewe kuliko kuhangaika kumfurahisha mwanamke. Haitakusaidia popote pale zaidi ya kujiumiza na kuonekana kazi bure.

Usimuonee huruma Mwanamke hata Kama macho yako na akili yako vinaona anastahili kuonewa huruma.

Pengine Mama Yako tuu angalau huyo waweza mkumbuka kidogo lakini waliobaki cheza nao Kwa akili nyingi huruma sifuri.

Huruma yako iwe na maslahi mapana. Apate kumi upate Mia. Apate Mia upate elfu. Usitumie moyo wako, tumia akili.

Usiwe na huruma Kwa maana wanawake hupenda kuonewa huruma Kwa wale watu wasiowapenda, huziweka nyuso zao za huruma ili kukulaghai na kuziteka hisia zako, usiwaangalie usoni wala usisikie sauti zao pindi Wazungumzapo.

Walakini usimsahau mke WA ujana wako ukamtendee wema ikiwa ulimchukua akiwa means mwali bikra Safi. Huyo na Mama yako walau unaweza wapa huruma yako kidogo hata Kama wangekutenda makosa kadha wa kadha.

Lakini kama hawana sifa hizo kamwe huruma yako isiwe karibu na Mwanamke.

Pia usitake huruma zozote kutoka Kwa yeyote, tena akiwa mwanamke ndio usizitafute huruma zake.

Sina la ziada. Mwaka mpya mwema

Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa sasa Makanya, Kilimanjaro
Such an empowering masculine thread . I approve and accept the context. U r officially a GOAT.
 
Wanawake asilimia kubwa tamaa mbele
Ndomana sahv asilimia kubwa wanaliwa
Jichoo

Ova

mnawala jicho halafu mnasingizia warabu wanapenda jicho kumbe sisi waafrica ndio mchezo wetu kudaadek
 
Kuna demu mmoja alikuwa analia& kujitia vihuruma kwangu kuwa hana hela ya Krismas,alisema atapika zake wali maharage siku ipite.Sikutuma hela nikamuahidi kumpelekea zawadi kesho geto kwake,siku ya boxing day jion nikafunga safari kumpelekea zawadi zake,nilijiongeza kidogo nikanunua zawadi neutral,anaweza kuzitumia hata mwanaume.Nikiwa njiani nlimtumia sms kuwa naenda kwake,nilipofika kwake nilimpigia kama mara mbili lakini hakupokea,kwa kuwa tulikuwa tunaishi karibu niliamua kujongea zangu geto kwangu nikiwa nimemaindi,zile zawadi nikajizawadia.Baadaye demu akanipigia akilalamikia zawadi zake na kusema kwamba muda nilipopiga alikuwa saluni.Niliamua kupotezea nikamwambia afate zawadi zake kwangu,akasema boy friend wake kamkataza kwenda mageto ya watu usiku.Nikamdanganya nina laki mbili cash mkononi kwa ajili yake,alikuja mbio nikala mzigo afu zile zawadi nilizificha,niliendea pedi za buku dukani,nikampiga swaga alipomaindi akazikubali akasepa.
Hawa wanawake unatakiwa kucheza Kama Pele.Hata ajilize vipi unatakiwa kutumia akili[emoji108]

fake story
 
Back
Top Bottom