Kuna demu mmoja alikuwa analia& kujitia vihuruma kwangu kuwa hana hela ya Krismas,alisema atapika zake wali maharage siku ipite.Sikutuma hela nikamuahidi kumpelekea zawadi kesho geto kwake,siku ya boxing day jion nikafunga safari kumpelekea zawadi zake,nilijiongeza kidogo nikanunua zawadi neutral,anaweza kuzitumia hata mwanaume.Nikiwa njiani nlimtumia sms kuwa naenda kwake,nilipofika kwake nilimpigia kama mara mbili lakini hakupokea,kwa kuwa tulikuwa tunaishi karibu niliamua kujongea zangu geto kwangu nikiwa nimemaindi,zile zawadi nikajizawadia.Baadaye demu akanipigia akilalamikia zawadi zake na kusema kwamba muda nilipopiga alikuwa saluni.Niliamua kupotezea nikamwambia afate zawadi zake kwangu,akasema boy friend wake kamkataza kwenda mageto ya watu usiku.Nikamdanganya nina laki mbili cash mkononi kwa ajili yake,alikuja mbio nikala mzigo afu zile zawadi nilizificha,niliendea pedi za buku dukani,nikampiga swaga alipomaindi akazikubali akasepa.
Hawa wanawake unatakiwa kucheza Kama Pele.Hata ajilize vipi unatakiwa kutumia akili[emoji108]