Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Hii ni nature na hakika,
Usijaribu kujionyesha kuwa u mwema au u mtoto wa mjini kwa kumuunganishia mtu wa karibu nafasi ya kazi kazini kwako.
Mtavurugana mpaka mchanganyikiwe.
Hii nimeiona kazini kwa watu kadhaa nami yalitaka yanitokee sema nikapanchi.
Mtafutie kazi ndugu au rafiki katika ofisi nyingine kabisa hapo mtamaliza salama.
Usiseme sijakuambia