Usimwamini Mwanamke wako hata kama ameshika dini. Maumivu niliyopata leo sitayasahau kamwe

Mimi nilifikiri mmeoana, kumbe unatusimulia matatizo uliyokutana nayo kwenye harakati za uzinzi na uasherati.
Ikimbieni zinaa, Wazinzi na waasherati hawatauona Ufalme wa MUNGU kamwe!!
Mwenye masikio na asikie.
 
Pole mkuu. Cha kufanya jaribu kwanza kutulia, jipe muda kidogo utafakari. Najua ni vigumu sana kujipa muda wa kutulia pasipo kutamani kumtafuta ila jikaze tu. Unajua ungekuwa ushafanya naye mapenzi mara nyingi isiyokuwa na idadi ningekupa ushauri ambao ungekusaidia kumrudisha huyo mwanamke ila kama ulivyoeleza kuwa alikuwa anakupa mara moja kwa mwezi tena kwa mbinde huu ushauri hautaweza kukusaidia. So ninachoweza kusema jipe tu muda wa kupumzika kisha ukishapona jaribu kuachana naye. Ukishindwa kabisa kumsahau na ukaendelea kuteseka kwa ajili yake basi anza kumtongoza upya.
 
hapana hilo la kumtongoza upya litashinda kwa kweli nisije onekana mpumbavu bure nimeongea na dada ake amuulize kuwa anamaanisha nikaishia apo nikitoka huku namblock na dada ake pia namwambia amwache mdogo ake aende asimlazimishe
 
Nasikitika kujua kuwa ASHURA kauumiza moyo wako ila usiwe mtu wa kulalamika sana hujui Mungu kakuepusha na nini. Mda mwingine watu tunaokutana nao sio sahihi katika maisha yetu ukapoteza mda, sasa omba sana MUNGU akuletee mtu sahihi kwenye maisha yako. .
 
We jamaa ni zoba sana. Uzuzu wako usitake kutuaminisha kuwa wananwake sio waaminifu.

Matukio yoote hayo bado hukushtuka tu kuwa hupendwi?

Hata ungemuoa huyo tayari alikuwa na mume wake mwingine wewe ulikuwa kama pambo tu.
 
Demu aliyeshika dini unajipigia na kwenye magest emu ach kudharirisha dini za watu aseee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…