- Thread starter
- #201
listen bro kuna mda unakereka adi unajikuta ushasema kwa hasira kitu nimejifunza ili usiwe na hasira za karibu katika mapenzi uwe na wanawake wengiNeno tuachane ndiyo lililokuangamiza kwanini ulitamka hilo neno?kumbuka maneno huumba