Usingekuwa na maringo ungekuwa umeolewa muda mrefu, ona sasa unajuta hata wa kukutongoza tu hakuna na umri umesonga

Hii ya kuumwa kila wiki ni ugonjwa gani mtoa mada anauzungumzia maana kuna manzi yaani muda mwingi anaumwa na haulewi nini
Yapo magonjwa mengi yakiwemo ya kurithi na kutokurithi ambayo muhanga hapitishi zaidi ya wiki bila malalamiko ya kuumwa. Mfano matatizo ya upumuaji (athma), mfumo wa uzaz, UTI sugu, n.k
 
Yapo magonjwa mengi yakiwemo ya kurithi na kutokurithi ambayo muhanga hapitishi zaidi ya wiki bila malalamiko ya kuumwa. Mfano matatizo ya upumuaji (athma), mfumo wa uzaz, UTI sugu, n.k
Basi huyo atakuwa ana tatizo la mfumo wa uzazi maana anakuwa analalamika kuhusu tumbo
 
Mtoa mada humu JF hakuna wanawake chipukizi, sijui unamshauri nani, humu kuna misingle maza, na waliotoa mimba zisizo na idadi, na wengine utakuta mimalaya iliyoshindikana, we demu yupo JF, huogopi.
 
dah inatia huruma sana, inasikitisha sana, inatia uchungu mno kwakweli dah 🐒
 
Mtoa mada humu JF hakuna wanawake chipukizi, sijui unamshauri nani, humu kuna misingle maza, na waliotoa mimba zisizo na idadi, na wengine utakuta mimalaya iliyoshindikana, we demu yupo JF, huogopi.
sifahamu,
ila ujumbe wangu ni wa jumla kwakweli, na itapendeza zaidi kuwaelezea wahusika walengwa ambao huenda wengi wao hawamo humu jukwaani 🐒
 
Mheshimiwa umejiandikisha?
 
Kitu pekee ambacho wanawake hawakijui na wakikijua watakua wenye amani ni kua , mwanamme huuchoka uchi wako baada ya siku 90, baada ya hapo kinachompa hamu ya kua na wewe ni tabia zako , hizo zitaamua atafute mwanamke mwingine au iweje , na anaweza kua na wewe kumbe ashakuacha kitambo Sana , mwanaume anaweza kuomba Hadi msamaha lakini hua ni siku 21 ushatoka kichwani mwake
 
inasikitisha sana, inafedhesha sana na kwakweli inasononesha sana dah!

39yrz hata make-up inaanza kugoma na kudunda 🤣
 
Hiki ulichokiandika hapa kilitakiwa kifunguliwe mada yake umeandika jambo la msingi sana
 
inasikitisha sana, inafedhesha sana na kwakweli inasononesha sana dah!

39yrz hata make-up inaanza kugoma na kudunda 🤣
Umeongea kweli kabisa ndugu, kuna pisi moja nilikutana nayo na iliniambia iko na 36 imeji make up lakini hiyo make- up ilikuwa imemkataa kabisa na kwenye status yake kuna siku ilimpost mwanae. Alafu ni member ya humu humu, inavyojiachia humu na ilivyo ni mbingu na ardhi kabisa. Kimsingi Mwanamke maisha ya mtandao na maisha halisi ni tofauti sana. Maisha halisi yamejaa Uchungu, tabu na huzuni sana 🤦‍♂️
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…