Usingekuwa na maringo ungekuwa umeolewa muda mrefu, ona sasa unajuta hata wa kukutongoza tu hakuna na umri umesonga

😹😹😹 bday lini nilishasahau tarehe aisee mtaniacha nisipokuwa makini, ngoja nimuulize sis Joa
Hiii we boya kweliiiii 🀣🀣🀣
Mbona ilikuwq ni last month ilikuwa
 
Mganga naona unawapasua VIREDIO.
KE Iko na mdomo haioleki Braza Yani Muda wowote kitawaka.
msukule huku hairuhusiwi, mnakuja kufanya nini aise? alaaa!

Ila maisha bana dah,
ukiwakuta wakiwa kwenye nyumba za ibada kwenye maombi na maombezi, utadhani ni watakatifu malaika wameshuka toka mawinguni...πŸ’
 
dah,
aise umeshusha nondo nzito ya maana sana aise, tena kwa kwa kifupi sana na kwa lugha rahisi sana πŸ’ͺπŸ‘ŠπŸ‘Š
 
msukule huku hairuhusiwi, mnakuja kufanya nini aise? alaaa!

Ila maisha bana dah,
ukiwakuta wakiwa kwenye nyumba za ibada kwenye maombi na maombezi, utadhani ni watakatifu malaika wameshuka toka mawinguni...πŸ’
Uzi hautembei kabisa 🀣🀣🀣
 
Mkuu maisha hayana formula, wapo wengi pia wasio viburi bt wamekosa ndoa na wanazitafuta makanisan/kalumanzila
Ooh aise,
wasijifungie ndani, watoke nje na kujumuika kule ambako vijana wenzao wako, na kwa Neema na baraka za Mungu watafanikiwa kupata wenza wao πŸ’
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…