Abraham Lincolnn
JF-Expert Member
- Apr 12, 2018
- 2,754
- 4,975
- Thread starter
- #61
Hii ndiyo aina ya vijana wanaotarajiwa kukomboa taifa. INASIKITISHA SANATuliza makalio we bwege. Unaandika upumbavu. Hujui maana ya zawadi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii ndiyo aina ya vijana wanaotarajiwa kukomboa taifa. INASIKITISHA SANATuliza makalio we bwege. Unaandika upumbavu. Hujui maana ya zawadi
Huyo muuaji wako umemkumbuka wewe. Wivu wa kike unawasumbua. Kwa hiyo akatae kupokea zawadi, kwamba anawaogopa wehu km wewe? Zawadi ni pongezi"Na Mimi nataka niseme watanzania mtanikumbuka na mtanikumbuka kwa mazuri na si kwa mabaya kwasababu nime sacrifice maisha yangu kwa wananchi masikini"
Nimesoma mahali kuwa hizi tuzo huwa zinatolewa huko NYC, tena wakati wa mikutano ya UN.Pamoja na yote umeshawahi kumuona akifanya huo upuuzi? Ok, tuachane na huyo, Mkapa? Nyerere? Wameshawahi kuforce kujiita Phd?
Huna ulijualo!Nimezungumzia hii ya kuitwa dk Kikwete, dk msukuma, dk Samia.
Sio kila tuzo na shahada kuwa ni udaktari.
Yawezekana Nyerere na mkapa walipewa tuzo na shahada kwa mambo mengine ila sio udaktari.
Kama wewe ni mvaa pedi, usifikiri kila mtu ni mvaaji kama wewe.Nasemaje, haters mwaka huu mtadondokwa na pedi njiani
Usingeweza pia kumkuta Nyerere, Mkapa hata Mwinyi akihangaika na tuzo hizi. Zina msaada gani kwa wananchi? Mambo ya hovyo sana haya
Tatizo hao wadanganyika walegezwa na ccm! Hawajielewi kabisa!WADANGANYIKA imekula kwao vibaya sana sana!
Rangi za 17 SDGs hizo.Mimi pia nimeshangaa jambo hilo!
Nasikia mama Abduli usipomuita Daktari basi muite Mama... Hapo mtaelewana!Nyerere, Mwinyi na Mkapa hawakuwahi kulazimisha kuitwa Dr.
Lakini Wewe Jamaa Yaani Haa Haa Mwehu
Leo nimemsikia mheshimiwa mmoja wa bara hata jina lake nimelisahau, anajivunia flyover na barabara za pemba na unguja, kwamba zinaota kama uyoga, mikeka inatandikwa, hivyo mama mi 5 tenaKwa vile siyo Mtanganyika huyu, nguvu kubwa anapeleka kwao Zanzibar.CCM wanatukosea sana Watanganyika kwa kuendelea kumkumbatia Samia
MIMI NAPENDEKEZA JINA LA MKUU LIFUTIKE TU HUMU, BADALA YAKE TUITANE DOKTA! @Dr chifu mkuu:Rais wa kwanza kupewa udaktari wa heshima ni mh Jakaya.
Udaktari wa Magufuli ulikuwa wa darasani kama walivyo wasomi wengine lakini kwasasa ambiwa hata mbunge msukuma mwenye elimu ya la darasa la saba na yeye ni Dr Joseph Msukuma.
Hii ni ajabu kwelikweli itabidi na sisi humu jf tuangalie baadhi ya watu ambao wametoa michango mingi humu jamii forums tuwape udaktari wa heshima.!
"Hapa kwetu (Tanzania) JPM bado anaongoza kura za maoni mioyoni mwa watanzania siasa sio uadui ukweli usemwe" nukuu ya Askofu Benson Bagonza katika ukurasa wake wa Facebook..Huyo uliyemtaja ndiyo alikuwa mpenda sifa kuliko huyu.