Usingizi nakosa kwa ajili yake

 
Mkuu, unafahamu ni kwanini msanii na mfanya biashara mashuhuri nchini marekani JAY Z, hapendi kutumia mtandao wa kijamii.

ni kwa sababu ya watu Kama nyie kumpenda mwanamke mtandaoni ambaye humfahamu. Ni aina ya uandishi wake unakuvutia hii haina maana ya kwamba yeye ni mzuri Sana.

Think as a gentleman. 👍
 
Acha hiyo ni kwamba hajuii ku quote a lady aende hata huko au afanye mAAJABU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…