Usingizi nakosa kwa ajili yake

au mpenzi unanjaa njaa wewe?

niΓ±a 37
Wewe heshima mie sipo huko eh kupaisha vipepeo vya watu pambana umtoe out mwenzio umdekeze umrushie rushie maji , umpe ua hujui kupenda mie sina njaa yakula leo nikula nyama nimetolewa out kilo zakutosha kisusio na supu ya samaki . Yaani mboga mboga na kachumbari zakutosha bili yakutosha imelipwa
 
jaman na mie nampenda, acheni kumsumbua mtoto
Ndo mpe kwanza BUKU,ameomba kwa member mmoja hivi,muulizie kama kapata.Ila jamaa jasiri sana,mi nikiwaga sina hela,hata kuwazia wadada siwaziagi.Mcheki mwamba.
 
sasa siukalale na mumeo huko?
 
nini kwani?πŸ˜•
 
Ndo mpe kwanza BUKU,ameomba kwa member mmoja hivi,muulizie kama kapata.Ila jamaa jasiri sana,mi nikiwaga sina hela,hata kuwazia wadada siwaziagi.Mcheki mwamba.
hahahaha
 
Ligi ya kubishana maneno yasiyo na tija kwangu ni marufuku.
uwe na siku njema mrembo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…