Usingizi nakosa kwa ajili yake

Usingizi nakosa kwa ajili yake

Hata mimi kila kikiona tu thread ya Penny money naanza kumpenda .Labda kwa sababu Jina la money!
 
Asilimia 90 ya wadada wanaotumia huu mtandao sio warembo ila wapo smart na wana akili mingiiii.
 
Money Penny mwenyewe alisema yeye ni kibibi, japo nyuzi anazotoa ni za kitoto
Ndo maana nimemuuliza mkuu, humu hamna mabinti wa 20's wote ni 30+.

Na usitegemee nyuzi tofauti na mapenzi toka kwao, ndio maana watu hudhani ni vibinti vibichi
 
Back
Top Bottom