Amicus Curiae
JF-Expert Member
- Sep 12, 2012
- 5,351
- 7,639
Wonders shall never end [emoji2]Aise
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wonders shall never end [emoji2]Aise
[emoji23][emoji23]Tafuta shughul ya kufanya uji keep busy usiwe na mawazo ya kifala fala namna hii
Kama ni mwanaume huyo ni tapeli, atakupiga vizinga na utamtumia nauli na asije.Jidanganye na hizo avatar wengine ni madume. Na baadhi ya member wanajitosa pm kuwatongoza wengine wanawaandikia nyuzi kama hivi kumbe ni njemba mwenzie.
Watu kibao washalizwa humuKama ni mwanaume huyo ni tapeli, atakupiga vizinga na utamtumia nauli na asije.
Ningekuwa mimi, ukiniliza sikuachi, naweka vitu hadharani na ushahidi juu, ili kukuharibia.Watu kibao washalizwa humu
Huyo dogo ni mpuuzi was mwisho, na Hiyo ni I'd yake ya kukashifu watu.GRow up bwana mzee!. Haya mawazo ya kipumbavu pumbavu punguza.unaijengea picha jina la ID ambapo huna hata uhakika ni Me au Ke mwisho wa siku upigwe mashine uvuliwe ubingwa kwa kushindwa ku balance shobo za kijinga
Tena hadharani... ila SAFI! maana wanajifanya kufunga PM, na wakati umri umeshawatupa mkono 😅Mleta uzi anatongoza.
Unakosaje usingizi Sasa au unatumia kahawa sanawakuu Salam✋
nimetokea sana kumpenda money penny.nimekuwa nikifatilia nyuzi zake sana
nimemjengea picha kichwani nimdada mmoja wamoto sana na mremboo hasa kuliko mwanamke yeyote duniani.
natamani sikumoja niwe nae kiwanja tule bataa Hadi afurahi mwenyewe.
I love you so much money penny ❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787]Jitahidi ule walau milo mi3 kwa siku, na kwa wakati unywe maji mengi pia.. I hope kila kitu kitakua sawa ni suala la muda tu, pole sana[emoji120]
😂😂😂🙌[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787]
ID zake zote anapewa ban ila hakomi anafungua mpya kila siku, na alivyo mshamba anafungua ID majina hayatofautuani sana kazi yake ni kutukana tuu. Mwezi huu tuu hii ID ya 3 anakula banHuyo dogo ni mpuuzi was mwisho, na Hiyo ni I'd yake ya kukashifu watu.
kwanini anakula sana ban?ID zake zote anapewa ban ila hakomi anafungua mpya kila siku, na alivyo mshamba anafungua ID majina hayatofautuani sana kazi yake ni kutukana tuu. Mwezi huu tuu hii ID ya 3 anakula ban
Anatukana mno, yaani anaweza akamuattack mtu ghafla na matusi makubwa makubwa bila sababu.kwanini anakula sana ban?
I'd yake niipi?Anatukana mno, yaani anaweza akamuattack mtu ghafla na matusi makubwa makubwa bila sababu.
Hata Hiyo I'd uliyo ijibu ni yake😁🤣Anatukana mno, yaani anaweza akamuattack mtu ghafla na matusi makubwa makubwa bila sababu.
🖕🖕🖕Hata Hiyo I'd uliyo ijibu ni yake😁🤣