Usiniadhibu kwa kukupenda

Wewe ulitaka aseme amelala na wewe mbele ya mwanamke mwenzako ili iweje?! Wewe uliye lala nae si unajua kuwa umelala nae?! Huyo mwingine inamhusu nini na kwann unalazimisha kuongelea mambo personal mbele ya mtu mwingine.
Umenena vyemaπŸ™
 
Tatizo huwa mnaona mwanaume aliyemzalisha na kumtelekeza alikua bwege nazi. Mimi sikupi pole mkuu. Endelea tu kulea damu ya mwanaume mwenzio ukifikiri mama yake atakupenda sana.
 
Nachokupendea Joanah uko so open and direct to the truth.
 
Kumekuchaaaaa kumekuchaaa
 
Duuh!!! Tafadhali bwana. Pole pole basi.
 
Mwanaume wa kumkumbuka ni yule alokuwa akimpa.mwanamke matumizi yake yote, vijipesa vijizawadi etc.
Ila kwa wale wasimamia kucha eti utakumbukwa? Big no.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Tatizo huwa mnaona mwanaume aliyemzalisha na kumtelekeza alikua bwege nazi. Mimi sikupi pole mkuu. Endelea tu kulea damu ya mwanaume mwenzio ukifikiri mama yake atakupenda sana.
Mkuu...analea yeye mm nampa ushauri tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…