Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umenena vyema🙏Wewe ulitaka aseme amelala na wewe mbele ya mwanamke mwenzako ili iweje?! Wewe uliye lala nae si unajua kuwa umelala nae?! Huyo mwingine inamhusu nini na kwann unalazimisha kuongelea mambo personal mbele ya mtu mwingine.
Inaweza isiwe salamaHongera cute,njia uliyoandikiwa ni salama🤝🤜
Jinenee mema utapata mema🙏Inaweza isiwe salama
Bado naishi ujue 😁
to yeye!!!😳😳🤔🤔Amekutana na single mom mwenye C-section,k bado inavuta Kwa ndani.🤣 Dunia hii mapenz hakuna.....upendo upo mwanzon tu baada ya hapo 🙄
AbeeTo
to yeye!!!😳😳🤔🤔
Nachokupendea Joanah uko so open and direct to the truth.Unaweza kumkumbuka mtu kwa upendo wake wa kweli
Upo wakati baada ya kupitia heart breaks za kutosha unajitathimini mahusiano uliyopitia na kukumbuka yule mmoja ambaye deep down unajua alikupenda kweli...ndio kukumbuka kwenyewe huko
Sio lazima iwe kodi ama kujengea nyumba
Bado zipo hizo za kuvuta kuvuta? Siyo artificial kweli!!? Mikweme haihusiki kweli!😀😀😀🏃🏃🏃🏃Abee
Mikweme ndonn mkuuBado zipo hizo za kuvuta kuvuta? Siyo artificial kweli!!? Mikweme haihusiki kweli!😀😀😀🏃🏃🏃🏃
Duuh!!! Tafadhali bwana. Pole pole basi.Umeongea vyema mpenz,ila kama hujapitia maumivu na pigo za Hawa watu I swear utatamani umeze Tena ulichoandika.Cute umewahi ambiwa sijalala na huyo mwanamke mbele ya mwanamke mwenzio na hapo una mimba ya jamaa? Aisee,hujapitishwa kwenye moto wewe.Sina kitu Cha kumkumbuka mwanaume hata ajinyonge huo ni ujinga wake kuendekeza mapenz.Sikuhiz Kuna ngono na siyo mapenz,kama umebahatika hongera,keep it up cute😉
Hujui kweme mkuu. Matunda flani hivi halafu mbegu yake ina karanga flani ya mafuta. Mbona maarufu sana.Mikweme ndonn mkuu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mwanaume wa kumkumbuka ni yule alokuwa akimpa.mwanamke matumizi yake yote, vijipesa vijizawadi etc.
Ila kwa wale wasimamia kucha eti utakumbukwa? Big no.