Usiniadhibu kwa kukupenda

Usiniadhibu kwa kukupenda

Wewe ulitaka aseme amelala na wewe mbele ya mwanamke mwenzako ili iweje?! Wewe uliye lala nae si unajua kuwa umelala nae?! Huyo mwingine inamhusu nini na kwann unalazimisha kuongelea mambo personal mbele ya mtu mwingine.
Umenena vyema🙏
 
Tatizo huwa mnaona mwanaume aliyemzalisha na kumtelekeza alikua bwege nazi. Mimi sikupi pole mkuu. Endelea tu kulea damu ya mwanaume mwenzio ukifikiri mama yake atakupenda sana.
 
Unaweza kumkumbuka mtu kwa upendo wake wa kweli

Upo wakati baada ya kupitia heart breaks za kutosha unajitathimini mahusiano uliyopitia na kukumbuka yule mmoja ambaye deep down unajua alikupenda kweli...ndio kukumbuka kwenyewe huko

Sio lazima iwe kodi ama kujengea nyumba
Nachokupendea Joanah uko so open and direct to the truth.
 
Kumekuchaaaaa kumekuchaaa
 
Umeongea vyema mpenz,ila kama hujapitia maumivu na pigo za Hawa watu I swear utatamani umeze Tena ulichoandika.Cute umewahi ambiwa sijalala na huyo mwanamke mbele ya mwanamke mwenzio na hapo una mimba ya jamaa? Aisee,hujapitishwa kwenye moto wewe.Sina kitu Cha kumkumbuka mwanaume hata ajinyonge huo ni ujinga wake kuendekeza mapenz.Sikuhiz Kuna ngono na siyo mapenz,kama umebahatika hongera,keep it up cute😉
Duuh!!! Tafadhali bwana. Pole pole basi.
 
Mwanaume wa kumkumbuka ni yule alokuwa akimpa.mwanamke matumizi yake yote, vijipesa vijizawadi etc.
Ila kwa wale wasimamia kucha eti utakumbukwa? Big no.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Tatizo huwa mnaona mwanaume aliyemzalisha na kumtelekeza alikua bwege nazi. Mimi sikupi pole mkuu. Endelea tu kulea damu ya mwanaume mwenzio ukifikiri mama yake atakupenda sana.
Mkuu...analea yeye mm nampa ushauri tu.
 
Back
Top Bottom