Usiniadhibu kwa kukupenda

Usiniadhibu kwa kukupenda

Umeongea vyema mpenz,ila kama hujapitia maumivu na pigo za Hawa watu I swear utatamani umeze Tena ulichoandika. Cute umewahi ambiwa sijalala na huyo mwanamke mbele ya mwanamke mwenzio na hapo una mimba ya jamaa?

Aisee, hujapitishwa kwenye moto wewe.Sina kitu Cha kumkumbuka mwanaume hata ajinyonge huo ni ujinga wake kuendekeza mapenz.Sikuhiz Kuna ngono na siyo mapenz, kama umebahatika hongera,keep it up cute[emoji6]
Haya nakusubiru hapa mkulu njoo tufanye ngono
 
Wewe ni single mother imetokea nimekupenda.

Nakuta mwanao wa kiume hana nidhamu na hajalelewa kiume amelegea na mideko mingi, nakusaidia kumlea kwa kukupa ushauri. Unaniambia siwezi kujua mtoto analelewaje.

Haya unaniambia nikope pesa ili ufanye biashara uongeze mtaji nakwambia subiri mwaka wa bajeti uanze. Unasema sijakupa thamani ndio maana sioni sababu ya kukusaidia.

Unaamua kuninunia na kuniambia nijitathmini kama nakuhitaji nifanye mambo hayo ili uamini. Umeamua kuniadhibu kisa nimekupenda? Sawa, namimi natafuta njia mbadala ila utaja kumbuka.
Ndg yangu ulikuwa huwajui hawa viumbe sawasawa?.
Kati ya wanawake 1,000 ni 10 pekee ni waelewa
 
Unaweza kumkumbuka mtu kwa upendo wake wa kweli

Upo wakati baada ya kupitia heart breaks za kutosha unajitathimini mahusiano uliyopitia na kukumbuka yule mmoja ambaye deep down unajua alikupenda kweli...ndio kukumbuka kwenyewe huko

Sio lazima iwe kodi ama kujengea nyumba
Unakuaga na akili njema...sema tu huwa unaamua kujifyetua
 
Wanaume wengi mnatia huruma mno, kwanza unatembea na mwanamke aliyezalishwa & you take Care of her, bado anakuendesha, why tf are you simping? Mtreat the way anastahili, what's so special about her?
 
Wanaume wengi mnatia huruma mno, kwanza unatembea na mwanamke aliyezalishwa & you take Care of her, bado anakuendesha, why tf are you simping? Mtreat the way anastahili, what's so special about her?
Hujui hawa masingle maza ndio wanatoaga show matata kweli kweli ndipo wanapo tuchanganya
 
Komaa kaka hawa viumbe wakishagundua kuwa tumedumbukia wote huwa wanatuburuza vibaya ila nakishauri tafuta mbadala wake haraka
 
Wanaume wengi mnatia huruma mno, kwanza unatembea na mwanamke aliyezalishwa & you take Care of her, bado anakuendesha, why tf are you simping? Mtreat the way anastahili, what's so special about her?
Ndio haya haya nilikua namwambia Carlos The Jackal jana unagongaje single maza aliyezaa mara 2 kwa 100,000/=?? Yan kilo plain..unaanzaje yan?
 
Si tulishasema lakini kuwa singo maza hafai kufanyaje? We ukajidai mjeuri mkaidi
 
Back
Top Bottom