Rabonn
JF-Expert Member
- Nov 7, 2018
- 5,789
- 11,106
Naona chaka jipya ila nyani wa zamani ..JF raha sana🤣Niachee🤸
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naona chaka jipya ila nyani wa zamani ..JF raha sana🤣Niachee🤸
Haya nakusubiru hapa mkulu njoo tufanye ngonoUmeongea vyema mpenz,ila kama hujapitia maumivu na pigo za Hawa watu I swear utatamani umeze Tena ulichoandika. Cute umewahi ambiwa sijalala na huyo mwanamke mbele ya mwanamke mwenzio na hapo una mimba ya jamaa?
Aisee, hujapitishwa kwenye moto wewe.Sina kitu Cha kumkumbuka mwanaume hata ajinyonge huo ni ujinga wake kuendekeza mapenz.Sikuhiz Kuna ngono na siyo mapenz, kama umebahatika hongera,keep it up cute[emoji6]
Ndg yangu ulikuwa huwajui hawa viumbe sawasawa?.Wewe ni single mother imetokea nimekupenda.
Nakuta mwanao wa kiume hana nidhamu na hajalelewa kiume amelegea na mideko mingi, nakusaidia kumlea kwa kukupa ushauri. Unaniambia siwezi kujua mtoto analelewaje.
Haya unaniambia nikope pesa ili ufanye biashara uongeze mtaji nakwambia subiri mwaka wa bajeti uanze. Unasema sijakupa thamani ndio maana sioni sababu ya kukusaidia.
Unaamua kuninunia na kuniambia nijitathmini kama nakuhitaji nifanye mambo hayo ili uamini. Umeamua kuniadhibu kisa nimekupenda? Sawa, namimi natafuta njia mbadala ila utaja kumbuka.
Unakuaga na akili njema...sema tu huwa unaamua kujifyetuaUnaweza kumkumbuka mtu kwa upendo wake wa kweli
Upo wakati baada ya kupitia heart breaks za kutosha unajitathimini mahusiano uliyopitia na kukumbuka yule mmoja ambaye deep down unajua alikupenda kweli...ndio kukumbuka kwenyewe huko
Sio lazima iwe kodi ama kujengea nyumba
We faller umebadili tena id?🤣🤣🤣Sawa mkuu
🤣🤣🤣Napumzika kidogo...nitarudi soon 🤸😆We faller umebadili tena id?🤣🤣🤣
Tatizo hutupendi wanaume bali unapenda mihogo yetu pekee🤣🤣🤣Napumzika kidogo...nitarudi soon 🤸😆
🤦ndo shida yangu Kwa sasa....kukunwa napenda ila kubeba moyo wa mtu nilishastaafu😉Tatizo hutupendi wanaume bali unapenda mihogo yetu pekee
Mbona nilikuambia ninae wa kitaa....nadunda nae taratibu mkuu
😂😂 dah!Unakuaga na akili njema...sema tu huwa unaamua kujifyetua
Njoo kwangu maana ata mie kubeba moyo wa mtu hapana aise🤦ndo shida yangu Kwa sasa....kukunwa napenda ila kubeba moyo wa mtu nilishastaafu😉
Hujui hawa masingle maza ndio wanatoaga show matata kweli kweli ndipo wanapo tuchanganyaWanaume wengi mnatia huruma mno, kwanza unatembea na mwanamke aliyezalishwa & you take Care of her, bado anakuendesha, why tf are you simping? Mtreat the way anastahili, what's so special about her?
Hujui hawa masingle maza ndio wanatoaga show matata kweli kweli ndipo wanapo tuchanganyaWanaume wengi mnatia huruma mno, kwanza unatembea na mwanamke aliyezalishwa & you take Care of her, bado anakuendesha, why tf are you simping? Mtreat the way anastahili, what's so special about her?
Ndio haya haya nilikua namwambia Carlos The Jackal jana unagongaje single maza aliyezaa mara 2 kwa 100,000/=?? Yan kilo plain..unaanzaje yan?Wanaume wengi mnatia huruma mno, kwanza unatembea na mwanamke aliyezalishwa & you take Care of her, bado anakuendesha, why tf are you simping? Mtreat the way anastahili, what's so special about her?
Yes😂😂 dah!
Unamnyonya mwenzio man..ii.. bure hata humpendi wewe😅Mbona nilikuambia ninae wa kitaa....nadunda nae taratibu mkuu