Usinunue iphone 13

Picha mkuu!! Me napenda kupiga picha na simu yangu inapiga picha zenye ujazo mkubwa mpaka MB10
 
Aisee nyie ndo mnaojua kutumia simu, yaani hivyo vitu unavyovitaja sina hata kimoja ninachokizingatia. Hiyo camera yenyewe ninaweza kukaa mwezi sijajipiga picha, yaani mtu kama mimi kununua simu ya million ni kufuata mkumbo tu [emoji3]
Uko kama mimi.. nikienda kununua simu mtu akianza kusifia camera huwa namwangalia tu..[emoji3] yan camera kwangu sio issue mana picha zenyewe sipigi. Mtu akiongelea charge atleast namuelewa
 
Unanunua iPhone 13 father house unamkimbia wewe ni popoma

Unanunua iPhone 13 unapanda daladala wewe ni popoma mkuu

Unanunua iPhone 13 vocha unaweka ya buku wewe ni popoma kanali

Unanunua iPhone 13 kwa mwaka storage yako ni GB 30 tu wewe ni superintendent popoma in charge

Unanunua iPhone 13 ili upate sifa ( na infact no body cares) wewe Popoma in Chief (PiC)

Vijana acheni kuishi maisha ya kuigiza there's life ahead and you'll be left succumbing on your own. Invest, invest, invest. Usiishi kufurahisha umma.
 
Excuse za watu wasio na hela zinachekesha sana,[emoji23]nasubiria ifike kwa hamu apa nipeleke 12pro nipewe 13pro,lazima kieleweke
 

We ndo popoma namba moja bladfacken,mtu kunnua kitu anakipenda ni swala la priority ata kama hana vingine vya muhimu
 
Simu ni kama portable computer siku hizi, unaweka CV, driving licence, documents zako zote za muhimu. Picha za familia na matukio mengine.
 
Excuse za watu wasio na hela zinachekesha sana,[emoji23]nasubiria ifike kwa hamu apa nipeleke 12pro nipewe 13pro,lazima kieleweke
Unajua Cristiano Ronaldo anatumia simu gani?
sadio Mane je?

i phone ni overated ndio maana mnauziwa fake za china

mkiambiwa ukweli mnasema mna hela

nyinyi ni wajinga wajinga
hapo una i phone 6 unajiona waliomo wamo
 
Narudia tena
watanzania hatuna cha kuficha kwenye simu zaidi ya meseji za umalaya na picha zetu za uchi
hatuna
ukimnunulia bia mbili huyo anayesema ana siri
anakutajia hadi penseli aliyoiba chekechea
 
Simu ni kama portable computer siku hizi, unaweka CV, driving licence, documents zako zote za muhimu. Picha za familia na matukio mengine.
1 TB ni kubwa mno
labda kama unaendesha kiwanda au kampuni kubwa mkononi
vinginevyo ni upuuzi tu
mie hata kuangalia movie kwenye simu kunanishinda
sasa tv niliyonunua ya nini kama naweka movie kwenye simu

Tuna fagilia ujinga tu

wonder why mtu anatoa jicho moja ili apate macho matatu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…