Robot la Matope
JF-Expert Member
- Apr 10, 2015
- 8,174
- 16,794
Picha mkuu!! Me napenda kupiga picha na simu yangu inapiga picha zenye ujazo mkubwa mpaka MB10Mkuu 1TB unatunza nini kwenye simu?
Mimi kwenye simu hua sizidishi 50GB, hapa nina simu ina 256GB najiuliza nitazijaza lini hizi?
Mimi napenda simu kubwa hizi ila sio kwa sababu ya storage, ni kwa sababu ya functionalities zake.
Toka nimeanza kutumia simu nimefanya analysis naona simu za 64GB zinanitosha kabisa sema nyingi za hivyo hazina functionalities nazotaka kama good camera, higher refresh rate, high screen resolution na mambo kama hayo.