Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
Hahahaha, umenitonyaNaona una hamu ya kulia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaha, umenitonyaNaona una hamu ya kulia
Ila ijaribu then uje utupe mrejesho, then ndio ujaribu na VodaHahahaha, umenitonya
M pesa hawana MasterCard wana visa cardMpesa MasterCard wako vizuri, bora kutumia hiyo
Hahahaha,nikishalia sio ?Ila ijaribu then uje utupe mrejesho, then ndio ujaribu na Voda
Ni kweli, zamani ilikua MasterCard, wamebadili hivi karibuni.M pesa hawana MasterCard wana visa card
Eeh😅Hahahaha,nikishalia sio ?
Means huna pakushika mzee duuuuh... Bongo noma, hivi Hakuna namna yeyote Ile ambayo inafanywa na mamlaka kwaajili ya kukomesha hizi tabia maana ww sio wa kwanza na wanao fanya hivyo big company sio kwamba ni genge tuuy la wahuni kwamba itachukua muda mrefu kupatikana kwao au ikoje iyo mambo apo.Siamini hata watoa huduma wana hulka ya kusaidia naonaga wanajibugi kirahisi sana na sometime wasitatue changamoto zako, nimeibiwa hela na mkenya laki tano tulikua tunafanya biashara yani nimeibiwa pesa na vitu bidhaa sikupata nimewapigia tigo sijapata msaada wowote mpaka leo japo kurudisha miamala mpaka leo, jamaa alikua anatumia safaricom,
Ikabidi niwaandikie safaricom mail ila wapi
Asante mkuu,Hahaa pole sana
Tigo warekebishe hayo malalamiko ya wateja otherwise watu hawataitumia itawadodea.
Wamaana ni voda tu hapo
Kitendo cha kadi za airtel na tigo kua linked moja kwa moja account ni tatizo,
Voda yupo mbele ya muda kaweka wallet maalumuili kadi isiiingilie mpesa
Nadhani voda ndio walikua wa kwànza kutuletea hizi virtual cards (i stand to be corrected). Wameendelea kua mbele ya hawa wapuuzi wengine kwenye huduma zao zote zinazohusisha virtual card.
Mara zote nilizotumia virtual card yao, sijawahi kupata tatizo. Nilipotaka kujaribu Airtel, nikakuta virtual card yao imeunganishwa moja kwa moja na airtel money, nikajua hapa kuna tatizo. Nikatemana nao!
I strongly recommend virtual card ya Vodacom.
Tumia VODACOM....
Naunga mkono hoja, sijawahi kupata tatizo na Voda.M pesa master card ndio mambo yote
Mkuu kuna kitu unakijua kuhusiana na hawa raia.Washenzi ni understatement. Airtel ni mAJAMBAZI.
Mkuu pole sana kwa hii changamoto, na mimi nimekuja kujifunza kuwa hawa watu hawajali na mara nyingi hawataki kubeba jukumu la kumsaidia mteja wao hata kutosupport ya documents pia ni shida kwao.Siamini hata watoa huduma wana hulka ya kusaidia naonaga wanajibugi kirahisi sana na sometime wasitatue changamoto zako, nimeibiwa hela na mkenya laki tano tulikua tunafanya biashara yani nimeibiwa pesa na vitu bidhaa sikupata nimewapigia tigo sijapata msaada wowote mpaka leo japo kurudisha miamala mpaka leo, jamaa alikua anatumia safaricom,
Ikabidi niwaandikie safaricom mail ila wapi