Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpaka sasa hivi suala lako limefikia wapi? Ulifanikiwa kilitatua? Mimi pia ni muhanga😔😔Mimi nashauri wahanga ambao tuna matatizo kama haya hususani kwa Tigopesa mastercard, tujioin kwa pamoja tupeleke malalamiko TCRA hata kwa njia ya email tu as tukusanye kesi zote za vielelezo pamoja then tutume TCRA kama email moja ili tupate way forward.
Nasema haya sababu nilijua mimi ni muhanga peke yangu na nilikausha baada ya kukosa msaada mwaka jana, lakini kumbe inatokea kwa watu wengi na tunabaki kugugumia tu kwa hela zetu wenyewe tulizipata kwa tabu sana, hata kama ni pesa kidogo bado ni Jukumu la Tigo kuwajibika kwa sisi customers wao.
Mwaka jana nilifanya malipo kwenye Apple store kiasi cha 250,000 ambayo ilikatwa vizuri kabisa bila shida, next day ikakatwa tena 250,000 kwa mara ya pili kwenda apple, nilicheki apple nikakuta kweli kuna invoice imelipiwa mara mbili. Nilicommunicate na apple (as ujuavyo wenzetu wazungu hawana ushamba wa kiafrica wa urasimu wa kipuuzi), walinijibu ndani ya 24hrs kuwa pesa zangu zitarudishwa kwenye card niliyolipia.
After a day wakanitumia email ya proof kuwa wamerudisha hela kwangu ikiwa na details zote kama zilivyotumika wakati nalipia. Nikawasiliana na Tigo na kuwaelezea wakasema mchakato huo huwa unachukua muda hadi hela isome Kwenye account yangu.
Aisee nilisubiri for two months kimya, kuwatafuta Tigo tena wakasema bado niendelee kusubiri pesa kama hiyo inapitia channels nyingi sana hadi kufika kwao, Wazee muda huo huo ukumbuke kadi zao sio permanent ni za siku 90 then inaexpire alafu niko zaidi ya two month wanasema nisubiri. Ikafika muda card ikaexpire na sikuona shida sababu wallet na Tigopesa ziko linked direct (sio kama voda).
After six months baada ya kufuatilia tena Tigo, wakaniambia mbona nimechelewa sana kutoa taarifa ishapita miezi mingi, uzuri wakati natoa taarifa ya kwanza nilihifadhi reference number ambayo nilikua kila ninapofuatilia nawatajia, nilipowatajia kipindi hiki wakasema kesi ya zamani sana na reference number haiwezi kuwepo kwa system.
Ilifika mahali nikachoka sana usumbufu wa kila siku na unaenda kutia huruma kama unaomba msaada vile while pesa ni zangu, uende kunyenyeke watu ukatie tie huruma ofisi zao ndo warespond hii haikuwa sawa kwangu, nilipiga chini na nikaacha kufuatilia lile swala mpaka leo.
Kitendo cha kuona hili swala kumbe linawakumba watu wengi, naona si vyema kuacha liende hivhivi aisee, itabidi tufanye namna.
Does this help? Mimi pia ni mhanga jamani😢😢Wakuu tujifunze kutumia mamlaka zinazosimamia, kwa mfano hapo ni kuandika email nzuri ya malalamiko yenye ushahidi ns kutuma TCRA na BOT utaona wenyewe watakutafuta na pesa wafakurudishia
Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
Kwangu mimi ilikuwa miamala miwili ya AirtelMoney kiasi laki nne na ushee. Ilirudishwa baada ya miezi minne hivi. Lakini nilienda Airtel HQ kulalamika wakasema watawasiliana na watu wa Airtel Mastercard. Muhimu sana kufuatilia HQ ya mtandao husikaMpaka sasa hivi suala lako limefikia wapi? Ulifanikiwa kilitatua? Mimi pia ni muhanga😔😔
Habari…! Nina refund kutoka apple ya 4.5 million nilifanya malipo ni Tigo pesa mastercard 18 Dec 2024 mpaka leo Jan 2025 sijapata.. proof of payment ninayo kutoka apple, mpaka leo tigo hawaoni pesa zangu.Mimi nashauri wahanga ambao tuna matatizo kama haya hususani kwa Tigopesa mastercard, tujioin kwa pamoja tupeleke malalamiko TCRA hata kwa njia ya email tu as tukusanye kesi zote za vielelezo pamoja then tutume TCRA kama email moja ili tupate way forward.
Nasema haya sababu nilijua mimi ni muhanga peke yangu na nilikausha baada ya kukosa msaada mwaka jana, lakini kumbe inatokea kwa watu wengi na tunabaki kugugumia tu kwa hela zetu wenyewe tulizipata kwa tabu sana, hata kama ni pesa kidogo bado ni Jukumu la Tigo kuwajibika kwa sisi customers wao.
Mwaka jana nilifanya malipo kwenye Apple store kiasi cha 250,000 ambayo ilikatwa vizuri kabisa bila shida, next day ikakatwa tena 250,000 kwa mara ya pili kwenda apple, nilicheki apple nikakuta kweli kuna invoice imelipiwa mara mbili. Nilicommunicate na apple (as ujuavyo wenzetu wazungu hawana ushamba wa kiafrica wa urasimu wa kipuuzi), walinijibu ndani ya 24hrs kuwa pesa zangu zitarudishwa kwenye card niliyolipia.
After a day wakanitumia email ya proof kuwa wamerudisha hela kwangu ikiwa na details zote kama zilivyotumika wakati nalipia. Nikawasiliana na Tigo na kuwaelezea wakasema mchakato huo huwa unachukua muda hadi hela isome Kwenye account yangu.
Aisee nilisubiri for two months kimya, kuwatafuta Tigo tena wakasema bado niendelee kusubiri pesa kama hiyo inapitia channels nyingi sana hadi kufika kwao, Wazee muda huo huo ukumbuke kadi zao sio permanent ni za siku 90 then inaexpire alafu niko zaidi ya two month wanasema nisubiri. Ikafika muda card ikaexpire na sikuona shida sababu wallet na Tigopesa ziko linked direct (sio kama voda).
After six months baada ya kufuatilia tena Tigo, wakaniambia mbona nimechelewa sana kutoa taarifa ishapita miezi mingi, uzuri wakati natoa taarifa ya kwanza nilihifadhi reference number ambayo nilikua kila ninapofuatilia nawatajia, nilipowatajia kipindi hiki wakasema kesi ya zamani sana na reference number haiwezi kuwepo kwa system.
Ilifika mahali nikachoka sana usumbufu wa kila siku na unaenda kutia huruma kama unaomba msaada vile while pesa ni zangu, uende kunyenyeke watu ukatie tie huruma ofisi zao ndo warespond hii haikuwa sawa kwangu, nilipiga chini na nikaacha kufuatilia lile swala mpaka leo.
Kitendo cha kuona hili swala kumbe linawakumba watu wengi, naona si vyema kuacha liende hivhivi aisee, itabidi tufanye namna.
Sure ni vizuri sana kutumia bank kwa malipo ya mtandaoni yaani unakuwa na bank account kazi yake ni hiyo tu. Na unaweka hela pale tu unapotaka kulipa. Miaka kadhaa iliyopita nilikuwa natumia sana UBA bank ya Nigeria by then walikuwa vizuri sana kwenye huduma sijajua kama wapo hivyo mpaka sasa au mambo yalibadilika.Pole mkuu. Apo unacho Takiwa kufanya, ni kuifanya account yako ya benk like nmb, NBC,crdb etc kuwa na uwezo wa kufanya manunuzi online.
Unaifanya account yako ya benk ina kuwa wallet.
Mfano nmb Visa,rcdb master card, NBC Master card.
Alafu SS unakuja Ku Link na PayPal account yako.
Hii itatusaidia kufanya manunuzi duniani bila kurudishiwa pesa Zako.
Coz hizi wallet ,tigo Visa, MPESA master card etc hizi 👈hazitambuliki kwenye dunia ya Kwanza, Ndio maana pesa zenu zinarudishwa.
Tumieni PayPal account alafu Una Link na account wallet zenu za benk,hii itatusaidia kufanya miamala mpaka wa 100,000 USD dollars Kwa mkupuo mmoja