Usinunue vitu online kwa kutipia TIGO MASTERCARD!

Baada ya line yangu ya Tigo kuleta shida, nilienda dukani kwao, wakanishauri nichue line mpya, nikasema sawa.
Wakasema nilipie sh. 1000/- nikalipa. Nilipoomba receipt ya malipo kimbem be kikaanza........
 
Mimi Leo nmelipia, ela imekatwa lakini deni halijafutika
 
Mpaka sasa hivi suala lako limefikia wapi? Ulifanikiwa kilitatua? Mimi pia ni muhanga😔😔
 
Wakuu tujifunze kutumia mamlaka zinazosimamia, kwa mfano hapo ni kuandika email nzuri ya malalamiko yenye ushahidi ns kutuma TCRA na BOT utaona wenyewe watakutafuta na pesa wafakurudishia

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
Does this help? Mimi pia ni mhanga jamani😢😢
 
Mpaka sasa hivi suala lako limefikia wapi? Ulifanikiwa kilitatua? Mimi pia ni muhanga😔😔
Kwangu mimi ilikuwa miamala miwili ya AirtelMoney kiasi laki nne na ushee. Ilirudishwa baada ya miezi minne hivi. Lakini nilienda Airtel HQ kulalamika wakasema watawasiliana na watu wa Airtel Mastercard. Muhimu sana kufuatilia HQ ya mtandao husika
 
Habari…! Nina refund kutoka apple ya 4.5 million nilifanya malipo ni Tigo pesa mastercard 18 Dec 2024 mpaka leo Jan 2025 sijapata.. proof of payment ninayo kutoka apple, mpaka leo tigo hawaoni pesa zangu.

“ Swala lako limefikiwa wapi /kufanikiwa” 0659172401
 
Sure ni vizuri sana kutumia bank kwa malipo ya mtandaoni yaani unakuwa na bank account kazi yake ni hiyo tu. Na unaweka hela pale tu unapotaka kulipa. Miaka kadhaa iliyopita nilikuwa natumia sana UBA bank ya Nigeria by then walikuwa vizuri sana kwenye huduma sijajua kama wapo hivyo mpaka sasa au mambo yalibadilika.
Niliwahi watuia bank ABC aisee nilipigwa na kitu kizito chenye ncha kali maana almost TZS 100K ilipotea kwenye account yangu kinyemela na ndipo niliwahama mazima maana nilifuatilia sana na wakaishia kudai nimeitoa mwenyewe kwenye ATM nilipowakatalia wakahamisha magoli wakasema itakuwa card nilimpa mtu /au card iliingia kwenye mikono isiyo salama ndipo hela ikatolewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…