Ricky Blair
JF-Expert Member
- Mar 13, 2023
- 463
- 1,009
Mtu ambaye mw akili na km mtazaa una uhakika watoto watakuwa na Genes nzuri na mtu ambaye anajua kumanage pesa na mnakuwa partners na mnakuwa kimahesabuUsioe au kuolewa na mtu uliyempenda kwa dhati( whatever that means because watu wanapenda tu wakiona watapata nn sana sana wanawake) oa au olewa na rafiki kipenzi na mtu mnayeendana kitabia, maadili na pesa. Mtu ambaye mw akili na km mtazaa una uhakika watoto watakuwa na Genes nzuri na mtu ambaye anajua kumanage pesa na mnakuwa partners na mnakuwa kimahesabu; kuliko ku fall in love cjui nn bla bla bla hapo utaumizwa tu lazima.
Tatizo mapenzi hayana formula mnaweza ku-match karibu kwa kila kitu na bado mkashindwa kutoboa baadae maishani, kila mtu akawa anavutia upande wakeUsioe au kuolewa na mtu uliyempenda kwa dhati( whatever that means because watu wanapenda tu wakiona watapata nn sana sana wanawake) oa au olewa na rafiki kipenzi na mtu mnayeendana kitabia, maadili na pesa. Mtu ambaye mw akili na km mtazaa una uhakika watoto watakuwa na Genes nzuri na mtu ambaye anajua kumanage pesa na mnakuwa partners na mnakuwa kimahesabu; kuliko ku fall in love cjui nn bla bla bla hapo utaumizwa tu lazima.
Kwa matakatazo na masharti haya mnatupa shida kufanya maamuzi. Leo hili kesho lile, masharti kibaao utafikiri mnaumbaga watu.Usioe au kuolewa na mtu uliyempenda kwa dhati( whatever that means because watu wanapenda tu wakiona watapata nn sana sana wanawake) oa au olewa na rafiki kipenzi na mtu mnayeendana kitabia, maadili na pesa.
Mtu ambaye mw akili na km mtazaa una uhakika watoto watakuwa na Genes nzuri na mtu ambaye anajua kumanage pesa na mnakuwa partners na mnakuwa kimahesabu; kuliko ku fall in love cjui nn bla bla bla hapo utaumizwa tu lazima.
Na yakisha kuwa na mwongozo hayo sio mapenzi tena bali ni mradi fulani.Hayanaga muongozo
Mkishaendana kitabia, maadili n.k ndiyo mwanzo wa kumpendaoa au olewa na rafiki kipenzi na mtu mnayeendana kitabia, maadili na pesa.