Usioe au kuolewa na mtu uliyempenda kwa dhati

Usioe au kuolewa na mtu uliyempenda kwa dhati

Hakuna mwongozo wala katiba mpya ya mapenzi.. Muulize Hosea Nabii wa Mungu aliyezama na kuoa mwanamke kahaba.

Samson mnadhiri wa Mungu na ugwiji wake wote, akaishia kwa Delila.

Mapenzi yana siri nzito sana Mkuu.
 
Usioe au kuolewa na mtu uliyempenda kwa dhati( whatever that means because watu wanapenda tu wakiona watapata nn sana sana wanawake) oa au olewa na rafiki kipenzi na mtu mnayeendana kitabia, maadili na pesa.

Mtu ambaye mw akili na km mtazaa una uhakika watoto watakuwa na Genes nzuri na mtu ambaye anajua kumanage pesa na mnakuwa partners na mnakuwa kimahesabu; kuliko ku fall in love cjui nn bla bla bla hapo utaumizwa tu lazima.
Kupendana kwa dhati ndo nini? hakuna kitu kama hicho. maisha yamejaa unafiki. watu watakupenda kwa sababu una kitu na si vinginevyo
wewe angalia kamtu kana kuvutia kiaina oa
 
Back
Top Bottom