Usioe au kuolewa na mtu uliyempenda kwa dhati

Hakuna mwongozo wala katiba mpya ya mapenzi.. Muulize Hosea Nabii wa Mungu aliyezama na kuoa mwanamke kahaba.

Samson mnadhiri wa Mungu na ugwiji wake wote, akaishia kwa Delila.

Mapenzi yana siri nzito sana Mkuu.
 
Kupendana kwa dhati ndo nini? hakuna kitu kama hicho. maisha yamejaa unafiki. watu watakupenda kwa sababu una kitu na si vinginevyo
wewe angalia kamtu kana kuvutia kiaina oa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…