RedPill Prophet
JF-Expert Member
- Apr 25, 2023
- 1,408
- 3,564
Kama mwanamume, ikiwa utaoa au kuchumbiana na mtu ambaye si bikira kwa muda mrefu, unapaswa uwe na uzoefu wa kuwa na mahusiano na wanawake tofauti tofauti.
Kama ni mtu wa Mungu, epuka kuwaoa wanawake wasio bikra, watakufananisha utendaji wako wa chumbani na wanaume waliokuwa nao huko nyuma, ukiwa chini ya kiwango, watakusaliti na utaishia kulea mbegu za wanaume wengine. Waachie wasio bikra waolewe na wanaume waliokula ujana vya kutosha.
Sitaeleza hili. Wale wanaojua, wanajua.