Usioe mwanamke asiye bikra kama hujawahi kuwa na mahusiano na wanawake tofauti tofauti

Usioe mwanamke asiye bikra kama hujawahi kuwa na mahusiano na wanawake tofauti tofauti

Heri yangu Mimi.,
miongoni mwa watakaobarikwa ndoa mwezi WA Saba NAMI nimechaguliwa aah aah

Kilio changu cha muda mrefu amekisikia aah

Hakuna Tena cha mikosi ni kufanikiwa aah aah aah

Mambo yamebadilika eeh

Itakula kweeee, itakula kweee nuu
🤸🤸
 
Ndoa muhimu sana mapema.

Funga ndoa na mwenza uliyesoma nae , ama uliyekua nae eneo moja, yaani umjue vizuri toka anavunja ungo ama balehe tabia zake zilikuwaje.

Na ndoa mfunge mapema kabla age ya ke haijavuka 25.

Nje ya hapo utauziwa mbuzi kwenye gunia
Kupata mke bora hakuna formula ...
 
Kama mwanamume, ikiwa utaoa au kuchumbiana na mtu ambaye si bikira kwa muda mrefu, unapaswa uwe na uzoefu wa kuwa na mahusiano na wanawake tofauti tofauti.

Kama ni mtu wa Mungu, epuka kuwaoa wanawake wasio bikra, watakufananisha utendaji wako wa chumbani na wanaume waliokuwa nao huko nyuma, ukiwa chini ya kiwango, watakusaliti na utaishia kulea mbegu za wanaume wengine. Waachie wasio bikra waolewe na wanaume waliokula ujana vya kutosha.

Sitaeleza hili. Wale wanaojua, wanajua.
Utamtoa wapi kwa dunia hii.
 
Back
Top Bottom