🤣🤣🤣 Hako kataulo umekavesha Nini jomba mbona una ubunifu wa kiwango Cha juu sana ,
Hii comment ya uongoUoe bikra, uoe aliyekwisha vurungwa kupigiwa utapigiwa tu. Hata umfiche ndani na kumfungia kwa kufuli, wahini watammega tu.
Mungu ndivyo alivyoumba. Ukitaka usipigiwe basi usioe
Unaamini kuwa mke wako hamegwi? Shauri yako. Anamegwa ila tu hujaambiwaHii comment ya uongo
We kama umeoa mke malaya ni tatizo lakoUnaamini kuwa mke wako hamegwi? Shauri yako. Anamegwa ila tu hujaambiwa
Kupata mke bora hakuna formula ...Ndoa muhimu sana mapema.
Funga ndoa na mwenza uliyesoma nae , ama uliyekua nae eneo moja, yaani umjue vizuri toka anavunja ungo ama balehe tabia zake zilikuwaje.
Na ndoa mfunge mapema kabla age ya ke haijavuka 25.
Nje ya hapo utauziwa mbuzi kwenye gunia
Utamtoa wapi kwa dunia hii.Kama mwanamume, ikiwa utaoa au kuchumbiana na mtu ambaye si bikira kwa muda mrefu, unapaswa uwe na uzoefu wa kuwa na mahusiano na wanawake tofauti tofauti.
Kama ni mtu wa Mungu, epuka kuwaoa wanawake wasio bikra, watakufananisha utendaji wako wa chumbani na wanaume waliokuwa nao huko nyuma, ukiwa chini ya kiwango, watakusaliti na utaishia kulea mbegu za wanaume wengine. Waachie wasio bikra waolewe na wanaume waliokula ujana vya kutosha.
Sitaeleza hili. Wale wanaojua, wanajua.
Wapo wengi tu .Utamtoa wapi kwa dunia hii.