Usioe mwanamke bikra kwa ushawishi wa lazima. Bikra ambae hajakupenda mbeleni atakuumiza vibaya

Usioe mwanamke bikra kwa ushawishi wa lazima. Bikra ambae hajakupenda mbeleni atakuumiza vibaya

Wale viherehere wa kuoa nawasanua zingatieni ushauri huu ukitaka kuoa bikra hakikisha unaoa anaekupenda haswaa ila ukitumia ushawishi wa kiwaki huko mbele utauona moto, mwanamke ana evolve kwenye nyanja zote

Wadiz
utakuwa ulipata mwanamke mwenye bikra ya kutengeneza
wale ma bikra OG hawako kama ulivyoandika!
pole!
 
Cha msingi upendo na awe anajielewa, awe na BK asiwe nayo, mwanamke akiamua kulianzisha hakuna wa kumzuia

Ukipata BK kesho akikuzoea atataka aonje na wengine inakuwaje hivyo lazima akitembeze na akinogewa je???!

Na ukimpata asie BK tayari ana experience na exposure, hivyo ukiyumba tu anarelate kwenye mafaili yake huko nyuma anaamua kurejea koloni au kutafuta mbadala

Hivyo iwe iwavyo tafuta mwanamke anaejielewa, ameridhika na kujiheshimu vinginevyo ni kazi bure tu
 
ni kweli maana wewe ni mwanaume wake wa kwanza
shida huyu kakutana na wale wenye bikra za kutengeneza!
Mnachosahau ni kwamba wanawake wote at one point walikua mabikra. Kama bikra angekua anampenda mwanaume wake wa kwanza tu basi malaya wasingekuepo.

Mwanamke yoyote awe umemuoa akiwa bikra au laa anaweza kushawishiwa na akaliwa nje vizuri tuu bila tatizo lolote. Tena usiombe bikra akaonja ladha tofauti, akakutana na mtu anaezama chumvini kama Mjanja M1 😆
 
aisee! ndio unajifariji!
 
Wale viherehere wa kuoa nawasanua zingatieni ushauri huu ukitaka kuoa bikra hakikisha unaoa anaekupenda haswaa ila ukitumia ushawishi wa kiwaki huko mbele utauona moto, mwanamke ana evolve kwenye nyanja zote

Wadiz
naunga mkono kabsa hoja hiii yani kabsa kabsa bikra akupende mwenyewee akufunulie mwenyewe sio akufanye umpende na hakupendi utapotea
 
Kuna visa vingi wanawake bikra walioolewa bila ridhaa na kupenda ndoa zilikufa au waliua waume zao kisiri
 
Back
Top Bottom