Money Penny
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 17,694
- 17,131
utakuwa ulipata mwanamke mwenye bikra ya kutengenezaWale viherehere wa kuoa nawasanua zingatieni ushauri huu ukitaka kuoa bikra hakikisha unaoa anaekupenda haswaa ila ukitumia ushawishi wa kiwaki huko mbele utauona moto, mwanamke ana evolve kwenye nyanja zote
Wadiz
Mnachosahau ni kwamba wanawake wote at one point walikua mabikra. Kama bikra angekua anampenda mwanaume wake wa kwanza tu basi malaya wasingekuepo.ni kweli maana wewe ni mwanaume wake wa kwanza
shida huyu kakutana na wale wenye bikra za kutengeneza!
Mkuu naomba tuheshimiane.Tena usiombe bikra akaonja ladha tofauti, akakutana na mtu anaezama chumvini kama @Mjanja M1 π
Sawa mkuuMkuu naomba tuheshimiane.
KaziKweliKweli/JobTrueTrue
aisee! ndio unajifariji!Mnachosahau ni kwamba wanawake wote at one point walikua mabikra. Kama bikra angekua anampenda mwanaume wake wa kwanza tu basi malaya wasingekuepo.
Mwanamke yoyote awe umemuoa akiwa bikra au laa anaweza kushawishiwa na akaliwa nje vizuri tuu bila tatizo lolote. Tena usiombe bikra akaonja ladha tofauti, akakutana na mtu anaezama chumvini kama Mjanja M1 π
Najifariji vipi tena wakati huo ndio ukweli mchunguaisee! ndio unajifariji!
naunga mkono kabsa hoja hiii yani kabsa kabsa bikra akupende mwenyewee akufunulie mwenyewe sio akufanye umpende na hakupendi utapoteaWale viherehere wa kuoa nawasanua zingatieni ushauri huu ukitaka kuoa bikra hakikisha unaoa anaekupenda haswaa ila ukitumia ushawishi wa kiwaki huko mbele utauona moto, mwanamke ana evolve kwenye nyanja zote
Wadiz